Bendi ya Maroon commandos iliendaga wap?

Aaaah Charonyi ni wasii, kila kilambo ni gome,

Kakunda mfu, ni gome,

Kakunda mnavu ni gome,

Maji genywa ni gome,

ni wasi ni wasi ni wasi,

Ni wasi ni wasi mdu,

Afu wana ile

Ewe mkulima aamka kumekucha hizi ndizo saa za kwenda shambani,

Mwanafunzi amka kumekucha hizi ndizo saa za kwenda shule,

Jiepushe na uvivu tujenge

Mwanangu amka kumekucha hizi ndizo saa za kwenda shule,

Jiepushe na uvivu tujenge Taifa, ilikuwa ikipigwa kumi na moja na nusu asubuhii kwa majira ya saa Afrika ya mashariki pale idhaa ya KBC Taifa sauti ni ya mkenya......

cc secretarybird
 
bila shaka utakua mzee mwenzangu wewe
 
Je, mnamkumbuka yule Mzee John Mgereza aliyeutunga wembo wa Les wanyika Amigo?

Monetary doctor Dr am 4 real PhD
simfahamu Ila naijua team ya Les wanyika hata Fresh mwambuli alikuwa Simba wanyika before zigawanyike na kusalia na band moja wapo na baadae kupigwa tukio na binti wa kikamba aitwaye Stella,

Kila mwaka may 19 wakenya wote tunamkumbuka Stella kwa ku hatbreki Freshly
 
Mkuu hebu ongezea nyama ili wana JF hasa wa kule TZ wapate kuelewa.
 
Mkuu hebu ongezea nyama ili wana JF hasa wa kule TZ wapate kuelewa.
Ngoja nitatafuta historia ya wana wanyika,

Ila freshly mwambuli yupo na kwao ni hapo Taita taveta, mpo majirani tuu to Mombasa

Alimpenda binti wa kikamba aitwaye Stella,

sasa Stella akapata ufadhili wa kimasomo kwenda nje, jamaa kwakua alikuwa mpenzi wake na wana ahadi nyingi akauza shamba, ng'ombe, mpaka gari juu ya Stella,

Lakini stella kaenda japani 3 if not five years na wanawasliana sasa kwa kipindi hiko cha 1990's sijui walikuwa wanatumia nn,

Ko akapanga Tarehe ya kurudi Kenya baada ya masomo yake,

Kweli freshly akajikusanya na mjomba wake kilinda, eng Njau njoka, na jamaa zake, kumlaki Stella,

Ndege ilipotua Stella alishuka lakini ana mtoto, na jamaa wa kijapani

Na hakuweza kusema chochote zaidi ya hii, na kuwaacha kina freshly pale na kusepa,

Ambapo Stella anadai huyo mtoto hakuwa wake bali wa abiria mwenzie, na hiyo kitu ili muumiza sana freshly mwambuli!
 
Hahahah 😂🤣
 
na yuko wap uyo stella sku izi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…