Bendi Gani ya Bongo Iliiga Wimbo Huu?

Bendi Gani ya Bongo Iliiga Wimbo Huu?

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Kuna bendi ya Tanzania iliiga kwa kiasi kikubwa tune ya sehemu ya kwanza ya wimbo huu wa TP OK Jazz ujulikanao kama 'Nostalgie'.

 
Last edited by a moderator:
Mimi nahisi marijan rajab aliiga alipoimba ' mwana matata hacha kulalamika hovyo, kama amekushinda mrudishe kwao o.....
 
Back
Top Bottom