GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 May 3, 2024 #1 Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi?
Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi?
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,537 Reaction score 13,847 May 3, 2024 #2 Naona Lissu kafanya Wazalendo wa Tanganyika,kuwa wakali kama moto wa vifuu vya Nazi.
Mtani wa Taifa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2023 Posts 953 Reaction score 3,331 May 3, 2024 #3 Vituo vyote vya polisi zinapatikana
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 May 3, 2024 #4 Kwa Upande wa Arusha kuanzia Usa kuelekea Mjini kabisa bendera zipo za kutosha...kwsbb wao walishaanza kujiita Watanganyika kitambo
Kwa Upande wa Arusha kuanzia Usa kuelekea Mjini kabisa bendera zipo za kutosha...kwsbb wao walishaanza kujiita Watanganyika kitambo
MENERIKI II JF-Expert Member Joined Oct 21, 2014 Posts 679 Reaction score 1,394 May 3, 2024 #5 Google
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,328 Reaction score 89,523 May 3, 2024 #6 Inaruhusiwa?
Q Quod Nocet Saepe Docet JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 7,944 Reaction score 17,268 May 3, 2024 #7 Mad Max said: Inaruhusiwa? Click to expand... Kwa nini isiruhusiwe?? Mbona bendera ya nchi ya Zanzibar inaruhusiwa?
Mad Max said: Inaruhusiwa? Click to expand... Kwa nini isiruhusiwe?? Mbona bendera ya nchi ya Zanzibar inaruhusiwa?
Q Quod Nocet Saepe Docet JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 7,944 Reaction score 17,268 May 3, 2024 #8 GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand... Hayati Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila alikuwa nayo nyumbani kwake ktk kipindi chote cha uhai wake.
GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand... Hayati Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila alikuwa nayo nyumbani kwake ktk kipindi chote cha uhai wake.
Kitchener JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 13,823 Reaction score 27,696 May 3, 2024 #9 GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand... utasiriamali huo, mtu akichapisha auze hata mtaani tu, atapiga pesa balaa.
GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand... utasiriamali huo, mtu akichapisha auze hata mtaani tu, atapiga pesa balaa.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 May 3, 2024 Thread starter #10 Mtani wa Taifa said: Vituo vyote vya polisi zinapatikana Click to expand... Nahisi huwatakii Watanganyika mema japo Polisi kwa sasa ni "waelewa"
Mtani wa Taifa said: Vituo vyote vya polisi zinapatikana Click to expand... Nahisi huwatakii Watanganyika mema japo Polisi kwa sasa ni "waelewa"
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 May 3, 2024 Thread starter #11 Azarel said: Kwa Upande wa Arusha kuanzia Usa kuelekea Mjini kabisa bendera zipo za kutosha...kwsbb wao walishaanza kujiita Watanganyika kitambo Click to expand... Kweli mkuu? Ngoja nifanye mawasiliano na watu wa Arusha, zikipatikana naziagiza.
Azarel said: Kwa Upande wa Arusha kuanzia Usa kuelekea Mjini kabisa bendera zipo za kutosha...kwsbb wao walishaanza kujiita Watanganyika kitambo Click to expand... Kweli mkuu? Ngoja nifanye mawasiliano na watu wa Arusha, zikipatikana naziagiza.
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,856 May 3, 2024 #12 GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand... Tumwambie Maria S. hizi Bendera zinahitajija kwa wingi Tanganyika. Cc. Fatuma a.k.a Shangazi
GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand... Tumwambie Maria S. hizi Bendera zinahitajija kwa wingi Tanganyika. Cc. Fatuma a.k.a Shangazi
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 May 3, 2024 Thread starter #13 Mad Max said: Inaruhusiwa? Click to expand... Wakijaribu kuzizuia ndiyo zitasambaa kwa kasi. Zitafika mpaka nchini Zanzibar.
Mad Max said: Inaruhusiwa? Click to expand... Wakijaribu kuzizuia ndiyo zitasambaa kwa kasi. Zitafika mpaka nchini Zanzibar.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 May 3, 2024 Thread starter #14 John Wickzer Mulholland said: Hayati Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila alikuwa nayo nyumbani kwake ktk kipindi chote cha uhai wake. Click to expand... Alikuwa mzalendo halisi!
John Wickzer Mulholland said: Hayati Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila alikuwa nayo nyumbani kwake ktk kipindi chote cha uhai wake. Click to expand... Alikuwa mzalendo halisi!
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 5,354 Reaction score 11,108 May 3, 2024 #15 Ngoja huu ni usiku au mchana? Kumekucha kuna kitu nimekumbuka, 'The Man From Tanganyika' Hii ndio title ya uzi wangu ujao ni bonge la uzi sasa basi ngoja nimcheki Mwana sheria wangu!
Ngoja huu ni usiku au mchana? Kumekucha kuna kitu nimekumbuka, 'The Man From Tanganyika' Hii ndio title ya uzi wangu ujao ni bonge la uzi sasa basi ngoja nimcheki Mwana sheria wangu!
Kitchener JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 13,823 Reaction score 27,696 May 3, 2024 #16 GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand...
GoldDhahabu said: Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi? Click to expand...
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 May 3, 2024 Thread starter #17 Yesu Anakuja said: View attachment 2980061 View attachment 2980062View attachment 2980065View attachment 2980064View attachment 2980063 Click to expand... Very nice!
Yesu Anakuja said: View attachment 2980061 View attachment 2980062View attachment 2980065View attachment 2980064View attachment 2980063 Click to expand... Very nice!
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,408 Reaction score 6,643 May 4, 2024 #18 Tuweke tu sawa. Bendera ya Tanganyika ina rangi tatu 1. Kijani 2. Nyeusi 3. Dhahabu
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 May 4, 2024 #19 Yesu Anakuja said: utasiriamali huo, mtu akichapisha auze hata mtaani tu, atapiga pesa balaa. Click to expand... Bora hiyo pesa ya mtaji aflash ajue moja hasara
Yesu Anakuja said: utasiriamali huo, mtu akichapisha auze hata mtaani tu, atapiga pesa balaa. Click to expand... Bora hiyo pesa ya mtaji aflash ajue moja hasara
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 Jun 17, 2024 Thread starter #20 John Wickzer Mulholland said: Hayati Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila alikuwa nayo nyumbani kwake ktk kipindi chote cha uhai wake. Click to expand... Kwa sasa kuna kiongozi yeyote mwenye nayo?
John Wickzer Mulholland said: Hayati Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila alikuwa nayo nyumbani kwake ktk kipindi chote cha uhai wake. Click to expand... Kwa sasa kuna kiongozi yeyote mwenye nayo?