Kama Kaskazini hawana haki kamili ya kikatiba kwa maana hawaruhusiwi kugombea ndani ya ccm nafasi yeyote ya kura mbali ya Ubunge ( SIO manneno Yao ) ...sidhani Kama ni sehem kamili ya Tanzania
HII notion lazima tuipige vita NCHI HII KUWA kuna Baadhi ya watu wa maeneo mbali mbali nchini Kama Sukuma ,Haya ,Nyakyusa etc hawawezi KUWA Marais itaisha tu .
Bendera hazipigi kura. Na siku zote mnasema ccm hakuna arusha sasa hizo bendera zilifikaje huko.Nyie tulieni watu wa kanda ya ziwa wainyooshe hii nchi. Sasa ndio mmepata mbabe mliokua mnamlilia.Huyu ni zaidi ya kagame.
Kama Kaskazini hawana haki kamili ya kikatiba kwa maana hawaruhusiwi kugombea ndani ya ccm nafasi yeyote ya kura mbali ya Ubunge ( SIO manneno Yao ) ...sidhani Kama ni sehem kamili ya Tanzania
HII notion lazima tuipige vita NCHI HII KUWA kuna Baadhi ya watu wa maeneo mbali mbali nchini Kama Sukuma ,Haya ,Nyakyusa etc hawawezi KUWA Marais itaisha tu .
Hapa Dodoma Singida Morogoro, Shinyanga, Simiyu Magufuli atatafuta kura kweli
Mnajidabgabya haswaaaa
kwanini msijitenge km mna Uchungu? maana Kiongozi wa Tanzania nzima hatatoka Arusha wala Kilimanjaro labda 2025
halafu changanya kurazote hizo katika Ballot Box haziwezi tikisa Mikoa ya Ziwa kwa Magufuli
Ni kupeta tu hata aje Dr, Lowassa, Mbatia Maguu-full ndio break
Matamba2000;
Umejiandikisha? Tumia silaha uliyopewa kulidondosha hili dude 25th October, 2015. Waelimishe na wengine, wasiuze kadi zao kwa wali na nyama ya tembo, ati wamekaribishwa kuwaaga jimboni, miaka 5 imepita tangu mmempeleka mjengoni hakuja hata kuwashukuru. Leo siku zake zimekwisha ndo anawakumbuka na njaa zenyu anakuja kutoa 1 ya 1000 ya zile alizojichumia mjengoni?? Ptuuuu mbaka siya. Simpi kura yangu ng'ooo. Nahakikisha nampiga chini kwa NOOOO