Kupata kichekesho kingine kama hiki, andika neno IT MASAKI tuma kwenda 15767.
Surua: katika wale 25% wa Lowasa kwenye poll ya twaweza, zaidi ya nusu wanatoka Kilimanjaro na Arusha. Waliobaki ni Udasa na Mbeya na Mwanza mjini, wengi wao wafanyabiashara kutoka kanda ya Kaskazini.
Meningitis is a relatively rare infection that affects the delicate membranes -- called meninges (men-in'-jeez) -- that cover the brain and spinal cord. Bacterial meningitis can be deadly and contagious among people in close contact.
Arusha CCM wana idadi kubwa ya bendera kuliko idadi ya wanachama.
CCM Arusha ilishajifia zamaaaaan,
Hata kuku akishachinjwa huwa anajirusharusha ihali atakata Roho na kuliwa kama kitoto:-(
Unamjua mshindi wa uchaguzi wa serikali za mitaa Arusha?Takwimu hamna amnabaki na porojo.Kwani bendera zinasaidia nini?
Au zinapiga kura hizo bendera?
Kama wapiga kura 90% ni Chadema uwingi wa bendera unawasaidia nini ccm?
Mafuriko hayana uamuzi!
Inamaana Arusha kuna Chama cha kikabila au ukoo ambako hata vyana vingine vifanye nini havina uhalali wa kupita?Sambazeni sana hayo mabendera yenu ila mjue hayo ndo yanawatia hasira wananchi. Arusha ccm mnajifurahisha tuu.
Loawasa aliwajua watu kama ninyi ndyo maaana akawaambia Elimu Elimu Elimu :-(Subiri kutekenywa
Kama bendera na mabango yatapiga kura ccm hamuhitaji bao la mkono
Ndele likikubali basi mhanga huwa hajitambui. Lakini na ndele zote alizofundishwa na bwana mahaba, Roho Mtakatifu anaendelea kuzitibua akibadilisha uteka siku baada ya siku. Kwa wasiojua; ndele ni dawa ya mahaba wanayoitumia waganga ili mtu kuvutika kwa mtu mwingine bila utashi wake. inaweza kupulizwa hewani au kupakawa kwenye kitu chochote na mhanga akikumbana nacho ndo anakuwa ktkt mahaba mazito. hatambui wala hasikii. Hilo sisi wacha Yahu tunalishughulikia Ni uchawi m-baya sana. Haleluyahu
Umeanza kupata salaamu?Loawasa aliwajua watu kama ninyi ndyo maaana akawaambia Elimu Elimu Elimu :-(