mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
GPSA ndiyo wapi?...Nataka kubwa na ndogo.Unataka za aina gani ndogo au kubwa nitafute 0788500146 au nenda GPSA
Jamani, bendera ya Tanzania hadi tutoe mawasiliano!!? Sasa kama ingekuwa ya Marekani si ingekuwa balaa?Toa mawaciliano
Ahsante sana...lakini funguka vizuri si wengine hatujui mitaa.bendera zinapatikana GPSA na ukitaka picha za viongozi nenda Idara ya Habari Maelezo
Jamuhuri na nini? Nielekeze vizurimtaa wa jamhuri pale kwenye duka la serikali. opp mafuta house car parking
bendera zinapatikana GPSA na ukitaka picha za viongozi nenda Idara ya Habari Maelezo
Nenda Taboranatafuta picha ya kiongozi wangu alhaj kapuya
Yaani wee acha tu...kazi kweli kwelihizo ni nyaraka za serikali, kama meno ya tembo?
Nimetembea karibu nimalize kariakoo yote na maeneo ya posta mpya yote...sijaona au kukuta sehemu ambayo wanauza
bendera ya Tanzania. Bendera ninayohiitaji mimi ni zile kubwa zinazopepea kwenye milingoti kama wizarani na kwenye mahoteli makubwa hapa Tanzania. Mwenye kujua nitaipata duka gani au ofisi gani anielekeze ili niende kununua as ssoon as I can ilimradi hiyo sehemu wawe wanauza bendera original na quality na siyo zile za kuchuja kila unapoifua.
Naombeni msaada wenu. Ahsanteni