Mh!! Sijapata jibuView attachment 2371132
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Idadi ya rangi mkuuKaka we hukusoma? Au imekuja kutuchora? Inamaana vitu muhimu hata alama za inchi Yako hujui?
Marehemu
Nje ya madaMarehemu
Leo mtoto wangu wa drs la 3 ameniuliza swali hili akidai ni homework amepewa shuleni. Haraka tu nikagugo nipate jibu.nikaiona picha ya bendera ya Rais wetu ikiwa imezungushiwa rangi ya bluu huku kijani ikichukua sehemu kubwa. Nikaona pia rangi nyekundu ikiwa katika ngao. Kwa ujumla nimeshindwa kutoa jibu. Uzi tayari karibuni
Jibu swali mkuuMaswali ya shule za kulipia haya[emoji23][emoji23]
Du!!!??Bluu
Kijani
Njano
Nyeupe
Nyeusi
Nyekundu kama nitakuwa sijakosea
AsanteYenyewe ni ya kijani tupu ila ina ngao ya bibi na bwana