KWENYE WEBSITE YA CCM KUNA HII BENDERA AMBAYO INAPEPERUSHWA NA UPEPO,
LAKINI CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA ALAMA YA JEMBE NA NYUNDO VIMESIMAMA NGANGARI KINOMA.
Anamaanisha kwamba ilitakiwa jembe na nyundo kama vipo pamoja na bendera vipeperuke pamoja inaonekana mtengeneza site ameungaunga kwenye kuiweka hiyo bendera manjonjo ya kupepea!!!