Bendera south sudan copy bendera ya kenya

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Bendera ya south sudan inafanana sana na ile ya kenya.Tofauti pekee ni bendera ya kenya ina nembo ya court of arm while ile ya south sudan inayo nembo ya blue triangle ilonakshiwa na nyota za njano sita.Bila shaka inchi hizi zitakuwa na uhusiano wa karibu.
 
southern sudan.gif kenya.gif
 
Wameishaolewa na wakenya hao. hata mafuta yao yatatangazwa kuwa yako kenya, walimu wa shule zote watatoka Kenya. kama tunavyonyonywa sisi kwenye mlima Kilimanjaro na shule za kisanii za English medium
Wakenya wako smart sana kutake advantage, muda si mrefu watajenga uwanja karibu na eneo la mafuta kama ni karibu na mpakani na South Sudan!
 
Wakenya wako smart sana kutake advantage, muda si mrefu watajenga uwanja karibu na eneo la mafuta kama ni karibu na mpakani na South Sudan!

There are mere survivors. Desperate, watu smart hawalii njaa kwao kama Wakenya. Ni lazima wafanye lolote kama hivyo, maana ndiyo option pekee waliyonayo! Kenya njaa kali, ndiyo maana wanakimbilia Tanzania kufanya kazi za jikoni na kuwa mabaa maid! Na hicho kiingereza, shule ni za wabongo, acha waje watumike na kunyonywa. Watu wakishajua hicho kiingereza , ni kutimlia mbali tu.
 
Back
Top Bottom