Benard Mwakyembe ahamia CCM akitokea CHADEMA

Benard Mwakyembe ahamia CCM akitokea CHADEMA

…hakuna anayetoka Chadema wala chama chochote kwenda CCM akanunuliwa, labda kama wao wanafanya hizo tabia za kununua watu.”

kwahyo hapa yeye amejuaje?otherwise aseme yeye ndo alikua mhasibu
 
Kama na wewe unaunga mkono juhudi gonga like hapa
 
Mi mwenyewe nimeamua kuhama CHADEMA na kumuunga mkono Mh rais maana naogopa naweza nikawa wa mwisho kuhama.Mbowe nae karibia anahama subirini yajayo yanafurahisha
Mtumeee
 
Ni sawa na kusema nimemuacha mke wangu na kuishi na dada wa nyumba. Sababu
1 Anapika
2 Anafanya usafi nyumbani
Baada ya kujituma na kuleta maendeleo kwa wananchi wanakaa na kuangalia jinsi gani wawavuruge wapinzani. Halafu kutwa wanakwenda kwa wachina na wazungu kuomba misaada lakini hutosikia kuomba misaada ya silaha za kivita bali hununua na waje kuzitumia kuwauwa wapinzani. Trump akituita shithole country tutabaki kununa, kwenye maisha unahitaji mpinzani ndio maana hata Mungu amemueka shetani kuwa mpinzani wake. Kama upinzani hauna maana basi Mungu agelikuwa kisha muangamiza shetani(iblisi) zamani sana.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kwenu ndio mashithole wa milele walahi
Na utabaki kuwa hivyo Maana umekiri kwa kinywa chako mwenyewe, jitu zima ovyo kabisa walahi
 
Back
Top Bottom