Kama atafanya vizuri tutamchukua simba, si muda mrefu akianza kudai signing fee na mishahara miezi mitatu tutambeba tu,Simba nguvu moja.Huyo itabidi yupate pesa kumbakiza...
Tuka aondoke msuva tulikosa mtu wakutokea pembeni kuanzisha mashambulizi, ngasa kafeli,kaseke alifeli,ps kajaribu kafeli lakini morisson anaonekana ndio mtu sahihi wakutokea pembeni kama ilivyo falsafa ya club ya yanga kwa miaka mingi.
Hakika huyu jamaa anajua,ana drible,anapiga pasi zenye macho,anaweza kupunguza watu,akizidiwa anaweza kutafuta faulo au kona,ana kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu gongowazi kwel hamna akiri, mchezaji anajipiga chenga mwenyew nyie mnashangilia
Laiti mngekua na Triple c mwamba wa lusaka tusingelala
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu mtaongea kiushabiki. Morrison kafanya vitu zaidi ya vitatu ndani ya mechi moja; kaonesha skills za kuuchezea mpira anavyotaka, kaonyesha uwezo mkubwa wa kutoa assist. Kaonyesha uwezo mkubwa wa kuwa msumbufu kwa timu pinzani kwa kuwatoka mabeki wa timu pinzani. chenga zake anapiga kumuelekea mchezaji wa timu pinzani. Sasa mnasema kajipiga chenga, embu tuonesheni namna alivyojipiga hiyo chenga.Mtu anajipiga chenga mwenyewe halafu unasema eti utafurahia kwa atakachokifanya,ule si uzwazwa mkuu,wenzetu wanafanya vile huku wakiwa wanakabiliana na wachezaji wa timu pinzani ana kwa ana,hapo ndipo ningemkubali,kwangu mimi ni wa kawaida sana labda kama ndio nimeanza kuangalia mpira leo ndio nitamshangaa.
Kacheza mechi mbili katoa assist tatu kafunga goli moja.Atoke OP aje Yanga ,kiwango chake cha kawaida tu.
Watu wanataka Kombe yeye analeta mbwembwe.
Nilijua tu mtaongea kiushabiki. Morrison kafanya vitu zaidi ya vitatu ndani ya mechi moja; kaonesha skills za kuuchezea mpira anavyotaka, kaonyesha uwezo mkubwa wa kutoa assist. Kaonyesha uwezo mkubwa wa kuwa msumbufu kwa timu pinzani kwa kuwatoka mabeki wa timu pinzani. chenga zake anapiga kumuelekea mchezaji wa timu pinzani. Sasa mnasema kajipiga chenga, embu tuonesheni namna alivyojipiga hiyo chenga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayaita ya kizwazwa kwavile hakufanya Triple 'C' mwamba wa Lusaka. Laiti angeyafanya deo Kanda au triple C usingeona huo uzwazwa.Kama hujafahamu wengi na naamini hata wewe walimfurahia zaidi pale alipojipiga chenga mwenyewe na kuleta madoido yale ya kizwazwa na si hayo mengine unayoyazungumzia wewe
Unayaita ya kizwazwa kwavile hakufanya Triple 'C' mwamba wa Lusaka. Laiti angeyafanya deo Kanda au triple C usingeona huo uzwazwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia aliyeongea hayo na uliyem-quote.Yaani unafananisha timu ya taifa ya Zambia na Ghana?! Nigga?!
Waulize kina Fraga mbona hampo timu ya taifa?!
Dah nimemisquote ilikuwa niijibu ile Mbumbumbu fc sorry Mwananchi.