Benard Membe ni nani? Kuna anayemjua zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benard Membe ni nani? Kuna anayemjua zaidi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchaga 25, Jan 10, 2012.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mtu anatajwa kuwa huenda akawa rais 2015 katika kujiaminisha kuwa ni mtu anaye faa hebu tuanze kukusanya maoni kutoka kona zote za nchi kwa wana JF wazalendo.
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  ni waziri wa mambo ya nje,jina lake jingine ni joka la mdimu.
   
 3. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ulianza na Nyalandu...ushamjua sasa?
  Kesha utataka kumjua nani tuanze kukukusanyia taarifa
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hauweze wapi huo urais,islaeri wametutukana yeye kakaa kimya hakujibu chochote,huyu si atakua kilaza zaidi ya mkuu wa kaya.

  Huyu ni Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa(Minister of foreign affairs and international relations)
   
 5. S

  Sheba JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa sio uhusiano wa kimataifa.
   
 6. S

  Sheba JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhe. Membe ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, toka 2007 hadi sasa. Amewahi kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani. Pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama tokea mwaka 2000 ambako akiwa Mbunge amekuwa Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje. Amekuwa Mkuu wa Idara ya Siasa na Ushirikano wa Kimataifa ya CCM na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM tokea 2007 hadi 2011 Kamati Kuu ilipojiuzulu, na Mjumbe wa NEC tokea 2007 hadi sasa.

  Nje ya siasa, Amefanya kazi katika Ofisi ya Rais hadi alipokwenda kugombea Ubunge mwaka 2000. Amekuwa Afisa Ubalozi katika Ubalozi wa Tanzania Canada kati ya mwaka 1992 hadi 2000. Ana elimu ya Shahada ya Uzamili(Masters) kwenye masuakpla ya Uhusiano wa Kimataifa, International Law and Economics kutoka moja ya vyuo bora nchini Marekani cha John Hopkins University (School of Advance International Studies). Ni Mkristo Mkatoliki na ana Mke mmoja na watoto watatu.
   
 7. N

  Njingo Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla muda wa uchaguzi kuanza yaani.2015 Ajitaidi aweamejenga barabara ya kutoka mtwara paka newala kwa kiwango cha rami kupitia nanyamba. tandahimba. mahuta. newala.kinyume na hapo.yy BENARD.na kina MKUCHIKA.kina GHASIA.sijui NJWAYO.kazi mnayo.kwanza kunaviongozi kusini madictetor.wanapendwa ikulu lakini wananchi hawawataki.hata uyo muindi aliekaa hapo mtwara saizi amewekwa na wazee wanao kwenda kuchukua kanzu na kubazi wakati wa ramadhani tunajua mtwara vijijini ndio usiseme ghasia ghasia tupu
   
 8. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mwaka jana amewezesha mashekhe kutoka kata zote za jimbo lake la Mtama kwenda kuhiji Mecca, pia viongozi wa dini ya kikristo kwenda kuhiji Jerusalem
   
 9. K

  Kwameh JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 773
  Likes Received: 482
  Trophy Points: 80
  Na kama unavyojua, joka la mdimu lenyewe halili ndimu, lakini ukigusa mdimu tu... balaa
   
 10. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kibaraka huyu katumwa.
  OTIS
   
 11. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ni joka la mdimu mnafiki mkubwa anajipendekeza kupata huruma ya waumini wa kiislam kwa kusema kujiunga oic sio tatizo
   
 12. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ........umeiacha kazi moja nafikiri ni kwa makusudi, maalum ulishaanza, wewe malizia tu na ile.
   
 13. String Theorist

  String Theorist JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Maranyingi mtu akisoma USA hua anarudi akiwa controled and monitored with CIA. Ninamashaka na huyu broo... Huenda akawa kwenye plan C ya US kumuweka kama rais wao.

  Hata hivyo, THE ISSUE HERE IS CCM, AND NOT THE MATTER OF CCM PESIDENTIAL CANDIDATE.
   
 14. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni TISS member wa siku nyingi.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Thanx kwa kunifafanualia,je na hapo kwenye kingereza ni sawa au niweke international co-operations?
   
 16. S

  Sheba JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umepatia, ni international cooperation. Kuna tofauti kati ya maneno hayo mawili.
   
 17. p

  paulk JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni waziri wa mambo ya nje na mbunge wa mtama mkoani Lindi. Amewahi kufanya kazi TISS
   
 18. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Naona kambi ya membe wamejiandaa sana kwa kujifanya kuuliza maswali ili waweze kutoa taarifa za membe. Cv yake bado sana wapambe wake.
   
 19. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Okay, kwa hiyo anafaa kuendelea kuwa mbunge mwaka 2015
   
 20. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Akiwa TISS yeye ndiye aliyefuatilia ile issue ya Mke wa Mzee Kitine kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa Mamilioni ! ni KACHERO mzuri sana lakini ninapata shida sana na utendaji wake katika siasa maana hizi TISS na SIASA haviendani kabisaaa !
   
Loading...