hahahahaYaani wewe ndo TAHIRA kupindikia.
Ungekuwa karibu yangu hata makofi ningekunasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga nyie tulieni dawa iwaingie, mlidhani hizo multiple accounts zenu humu ndo zingepiga kura? mnajitekenya na kucheka wenyewe si tunawachora tu, the majority tumeamua, ingieni road na huko tuje tuwanyooshe.Uzi wa kijinga kutoka kwa mjinga.
Inamaana hujui kwamba huu uchaguzi ni figisu za NEC na ma Wakurugenzi ndio zimeumaliza?
Kumbe ulimsikia eee?Nakumbuka skumoja mtoto wa marehemu Moses akiwa amelewa aliropoka kule tuita kwamba "kachero amekwenda kuwamaliza wapinzani" Kisha atarejea Greenland
Mje wewe na nani?Wajinga nyie tulieni dawa iwaingie, mlidhani hizo multiple accounts zenu humu ndo zingepiga kura? mnajitekenya na kucheka wenyewe si tunawachora tu, the majority tumeamua, ingieni road na huko tuje tuwanyooshe.
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu hapa, ulichoandika zungumzia nguvu tu utaelewekaLAZIMA tujue kuwa anguko la CHADEMA mwaka huu ni la kihistoria. Haijawahi kutokea tangu kuanza kwa Mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992. Labda kwa wasiofahamu dhambi ya kumkataa Jasusi au Kachero (Membe) kwenye Chama hicho ndio mwanzo wa kujiangusha wenyewe. Membe hakuridhika kukataliwa na CHADEMA akaamua kwenda ACT - Wazalendo ili iwe route ya kuwavuruga wote wawili...
Hivi wewe unajielewa?Watu wameona isiwe tabu, mtu umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
Mwisho wa siku Wanachama wakaone isiwe tabu wakajikalia zao majumbani na hawakwenda kupiga kura na matokeo yake ndo haya CHADEMA na ACT wameangukia pua.