Ben

mlambalasi

Member
Joined
Nov 19, 2016
Posts
8
Reaction score
2
Hivi beni wa saanane wapi alipo? Naona chadema wapo ulaya wanakula bata
 
Damu ya Habili ilipolia swali na jibu na maamuzi yote alifanya MUNGU. Mwanzo 4:9-12
 
ameenda kuhesabiwa migombani rombo si unajua mwisho wa mwaka huu
 
Wakuu nimesoma GAZETI la Mwananchi la juzi,,,kuna miili sita imeopolewa mto ruvu ikiwa imefungwa kila moja na bonge la jiwe ,i
 
hahah sasa mkuu inamaana jf ndio tuna uchungu kuliko chama?? kumbuka ben ni kada wa chama kungekuwa na ukweli kuwa kapotea tungesha pewa updates kutoka chamani na huwenda shauri au taarifa zingekuwa kwenye vyombo vya usalama n.k

MBONA WAPO KIMYA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…