Ben Saanane amezimika kama moto wa Kibatari, nobody cares. Binadamu wanasahau haraka sana

Nilikuwa mara nyingi sana najaribu kufuatilia maandishi ya mmoja ya waandishi waliopata kutokea kusimamia walichoamini haijalishi kina athari au ukweli kiasi gani. Ben Saanane alikuwa na kitu ana kiamini. Alisimamia hicho. Dunia ya leo ni ngumu sana kupata watu wenye kitu wanachoamini zaidi ya vyeo,madaraka na pesa ni ngumu sana.

Ben Saanane sikuwa nakubaliana na kila alichoandika. kuna mengine nlikuwa napingana naye. lakini nliendelea kumheshimu kuwa alikuwa au ni kijana anayejua kutafuta support na kile anachoamini ili watu wengine pia wapate kukifahamu.

Naamini alikuwa Mwaminifu kwa mtu au watu fulan. Ben Saanane aliishi maisha yake akiamua kuwa mwanasiasa wa Aina yake ambaye hakuwa na jukwaa ambalo angesimama na kuongea kwa kutumia kipaza sauti.

Yeye alitumia kalamu.Iinawezekana kuna infos alikuwa anapewa au ni juhudi yake mwenyewe kuzitafuta. Lakini kinachonifanya leo hii niukumbushe umma habari hizi ni yu wapi Ben Saanane? Jitihada za kumtafuta zimeishia wapi? Je, watu wamekubali kuwa hayupo, amejificha au amepotea?

Tulimtia nguvu, tulimsifu kwa ujasili wake , leo haonekani mbona hatusaidii kumtafuta? hatukumbushi kumtafuta? Je ni kweli kuwa tumeshamwacha apotee?

Kwa namna hii ya usahaulifu, mnadhani tunaweza kuwa na mashujaa siku zijazo? ni nani anajua alipo ben saanane?
Mkuu wakubwa wake sasa wameshilia mambo ya vyeti,Gwajima na Clouds,haiwezekani msaidizi wako au mtu wako wa karibu apotee na wewe uendelee tu na zako,yaani maisha kama kawaida utadhani hakuna kitu,kama walivyoshikia bango mambo mengine ya kipuuzi kwanini wanamsahau mtu wao,cha ajabu hakuna anayejaribu kusema hili suala ni kama pale Ufipa wameambiwa mkome kumzungumzia Ben,nadhani hilo ni fundisho kwa wapambe wengine,ubaya upo hata kwa wapinzani.
 
Kuna watu kwenye hili jukwaa mpo kimya sana...Kama mnafikiri mna freedom ya kukaa kimya, Be careful, nasema watch it, not to that extent.
 
Kwakilichotokea na Kupatikana Kwa Roma Mkatoliki kimeonyesha Nguvu kubwa Waliyonayo wasanii katika jamii. Takribani siku mbili tangu kutekwa kwa Msanii Roma na Wenzake ktk Studio za Tongwe Records jitihada kubwa zilizoonyeshwa na wasanii bila kujali tofauti zao zimewezesha kupatika kwa msanii huyo.

Moja ya mikakati waliyoitumia ni kuongea na Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul MAKONDA na yeye bila kupepesa macho aliwahakikishia Roma atapatikana kabla ya Jumapili na Kweli amepatikana kwa leo Jumamosi kwa habari zilizotufika. Kabla hatujauliza alitumia mbinu gani na Alikuwa na uhakika gani kwamba msanii huyo angepatikana kabla ya jumapili tunawaomba wasanii muongee tena na MAKONDA.

Mkumbusheni Makonda kwamba BEN SAANANE ni binadamu kama Roma NA yeye mwenyewe Makonda,Ben saanane ana mtoto kama Roma MKATOLIKI,Anafamilia ,Wazazi na ndugu wanaomlilia kila siku kwa miezi yote aliyopotea.

Bensaanane alipotea ktk Mkoa wake kama ilivyotokea kwa Roma Matoliki. Wasanii wetu tunaomba mpaze tena sauti juu ya Ben saanane na wote waliopotea ktk mazingira ya utatanishi.

Wasanii onyesheni ubinadamu kwa Mtanzania huyo na watanzania wenzenu wote,nguvu mliyonayo ni kubwa itumieni kookoa maisha ya watanzania wote bila kujali kama ni msanii au laa.

Watanzania siku zote wanasimama na nyie ktk kila jambo na huko ndiko mlikopata nguvu hiyo,itumieni kuokoa maisha ya wengine pia sio mpaka litokee kwa msanii mwenzenu tu.

Mwisho niwapongeze kwa umoja na jitihada mlizofanya.Mungu Awabariki sana.

Mwana wa Nchi.!
 
Tutetee wasanii waonyeshe nguvu yao. Bado wakulima. Na Wanasheria. Na doctors. Na Waarabu. Na wanawake. Na walemavu. Na wafugaji. Itakuwa nchi nzuri. CHADEMA wao lakini tayari walishajitetea, sema tu kura hajizatosha watu wa Nyerere hawataki ukanda.
 
Kwakilichotokea na Kupatikana Kwa Roma Mkatoliki kimeonyesha Nguvu kubwa Waliyonayo wasanii katika jamii. Takribani siku mbili tangu kutekwa kwa Msanii Roma na Wenzake ktk Studio za Tongwe Records jitihada kubwa zilizoonyeshwa na wasanii bila kujali tofauti zao zimewezesha kupatika kwa msanii huyo.

Moja ya mikakati waliyoitumia ni kuongea na Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul MAKONDA na yeye bila kupepesa macho aliwahakikishia Roma atapatikana kabla ya Jumapili na Kweli amepatikana kwa leo Jumamosi kwa habari zilizotufika. Kabla hatujauliza alitumia mbinu gani na Alikuwa na uhakika gani kwamba msanii huyo angepatikana kabla ya jumapili tunawaomba wasanii muongee tena na MAKONDA.

Mkumbusheni Makonda kwamba BEN SAANANE ni binadamu kama Roma NA yeye mwenyewe Makonda,Ben saanane ana mtoto kama Roma MKATOLIKI,Anafamilia ,Wazazi na ndugu wanaomlilia kila siku kwa miezi yote aliyopotea.

Bensaanane alipotea ktk Mkoa wake kama ilivyotokea kwa Roma Matoliki. Wasanii wetu tunaomba mpaze tena sauti juu ya Ben saanane na wote waliopotea ktk mazingira ya utatanishi.

Wasanii onyesheni ubinadamu kwa Mtanzania huyo na watanzania wenzenu wote,nguvu mliyonayo ni kubwa itumieni kookoa maisha ya watanzania wote bila kujali kama ni msanii au laa.

Watanzania siku zote wanasimama na nyie ktk kila jambo na huko ndiko mlikopata nguvu hiyo,itumieni kuokoa maisha ya wengine pia sio mpaka litokee kwa msanii mwenzenu tu.

Mwisho niwapongeze kwa umoja na jitihada mlizofanya.Mungu Awabariki sana.

Mwana wa Nchi.!
Bahati mbaya ya Ben nikwamba tulichelewa kupaza sauti .hatukudhani kama tumefikia roho mbaya kiasi cha mtu kupotezwa mazima .tulisha sahau ya ulimboka
 
wasanii wamepiga kelele kumhusu msanii mwenzao je cdm nani kapiga kelele kumhusu saa8? . au ndo unataka onekana unaingilia mambo ya watu?...

Linapokuja swala la maisha ya mtu na ubinadamu tuweke itikadi pembeni,tusimtafute Ben saanane kama mwana CHADEMA tumtafute kama binadamu mwenzetu na mtanzania. Hata kama chadema wasiposema tupaze sauti vyombo vya dola vifanye kazi yake.Ikiwezekana viwakamate na hao chadema kama ushahidi upo wa wao kuhusika.
 
Mbona hata juzi wamepiga kelele bungeni na serikali inajibu kisiasa ?!
 
Bahati mbaya ya Ben nikwamba tulichelewa kupaza sauti .hatukudhani kama tumefikia roho mbaya kiasi cha mtu kupotezwa mazima .tulisha sahau ya ulimboka

Hakuna kuchelewa ,mtu anapopotea lazima atafutwe na apatikane akiwa hai au amekufa ,hata kama atakuwa mifupa mitupu wakati wa kupatikana ni vyema akapewa heshima za mwisho kama binadamu mwingine yoyote.
 
Linapokuja swala la maisha ya mtu na ubinadamu tuweke itikadi pembeni,tusimtafute Ben saanane kama mwana CHADEMA tumtafute kama binadamu mwenzetu na mtanzania. Hata kama chadema wasiposema tupaze sauti vyombo vya dola vifanye kazi yake.Ikiwezekana viwakamate na hao chadema kama ushahidi upo wa wao kuhusika.
Ni kweli lakni kwa kuanza Mbowe kasemaje kuhusu ben8?
 
Lkn...baada ya kushukuru kwa kupatikana kwa Roma akiwa hai, ni lazima tuvute subira kujua kilichojiri....nini kilitokea, nani walimteka, madai yao yalikuwa nini...nk
Tunaweza kuja staajabishwa na tukio hili, mpaka tukakimbiana
 
Kwakilichotokea na Kupatikana Kwa Roma Mkatoliki kimeonyesha Nguvu kubwa Waliyonayo wasanii katika jamii. Takribani siku mbili tangu kutekwa kwa Msanii Roma na Wenzake ktk Studio za Tongwe Records jitihada kubwa zilizoonyeshwa na wasanii bila kujali tofauti zao zimewezesha kupatika kwa msanii huyo.

Moja ya mikakati waliyoitumia ni kuongea na Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul MAKONDA na yeye bila kupepesa macho aliwahakikishia Roma atapatikana kabla ya Jumapili na Kweli amepatikana kwa leo Jumamosi kwa habari zilizotufika. Kabla hatujauliza alitumia mbinu gani na Alikuwa na uhakika gani kwamba msanii huyo angepatikana kabla ya jumapili tunawaomba wasanii muongee tena na MAKONDA.

Mkumbusheni Makonda kwamba BEN SAANANE ni binadamu kama Roma NA yeye mwenyewe Makonda,Ben saanane ana mtoto kama Roma MKATOLIKI,Anafamilia ,Wazazi na ndugu wanaomlilia kila siku kwa miezi yote aliyopotea.

Bensaanane alipotea ktk Mkoa wake kama ilivyotokea kwa Roma Matoliki. Wasanii wetu tunaomba mpaze tena sauti juu ya Ben saanane na wote waliopotea ktk mazingira ya utatanishi.

Wasanii onyesheni ubinadamu kwa Mtanzania huyo na watanzania wenzenu wote,nguvu mliyonayo ni kubwa itumieni kookoa maisha ya watanzania wote bila kujali kama ni msanii au laa.

Watanzania siku zote wanasimama na nyie ktk kila jambo na huko ndiko mlikopata nguvu hiyo,itumieni kuokoa maisha ya wengine pia sio mpaka litokee kwa msanii mwenzenu tu.

Mwisho niwapongeze kwa umoja na jitihada mlizofanya.Mungu Awabariki sana.

Mwana wa Nchi.!
Co wasanii tu waungane hata wananchi wa kawaida wanapaswa kuiga huo mfano chanya icjekuwa kila kitu tunatupia mzigo wasanii
 
Back
Top Bottom