show ipi iyo ya buku50 au ya ambassada lounge??navofahamu mimi iyo show ni elfu10..ata ivo kuvunja rekodi ya domo hasaau 1.huwezi fananisha ukumbi wa mlimani city na sebule ya ambassad lounge 2.benpaul ana audience ndogo sana 3.hana unyama wa kujaza watu kapoa sana 4 ata meneja wake(ruge) kajitahidi sana kumtengeneza afikie level zile lakini tangu atoke kwa mlab kwa kina patrick hakuna jipya alilofanya ni yule yule.