benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Binti kanitumia msg nifungue email yangu.....kufungua nakutana na ujumbe "honey how much can you contribute"?.....kwenye attachment ni Invoice imeandikwa $6385.50. ni kodi ya pango uzunguni ya miezi mitatu, mimi nimekaa kwake wiki mbili tu.Tena kanivalisha pichu zake...kanilisha mikate na nyanya za kutosha tu....kwa kweli haya ni majaribu haswa........nimemjibu nimemwambia asubiri bunge la bajeti liishe. Sasa ivi nimetoka kumpigia mama mwenye nyumba wangu aniwekee dumu mbili za maji.....hahaha eti mama ananiuliza "kwani umerudi kutoka brazil" maana wakati naenda uzunguni niliwaambia naenda brazil.