Cool Runnings
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 277
- 199
tuheshimu mawazo yake kama tunavyoheshimu ya nyerere alivyokataa makabila fulani yasiwe rais
katamke hayo maneno saudia usipokatwa kichwa kwa kuudhalilisha uislamThere is separation of state and religion in the USA.
And if one wants to be strict about religiosity, Christians should not be president. The USA is secular.
That means, you can have whatever religion and serve this country, as long as you respect secularism.
Now, it boils to the definition of what is a Christian or Muslim.
Bertrand Russell trated this question thoroughly in his essay "Why I am not A Christian".
The distinction between Christian and Muslim is feeble and artificial.
Strictly speaking, they are all equally deluded.
nawananga watu waliomlisha nyerere maneno....nayatumia kwa faida zangu katika hii mada kama wanavyomlisha na kuyatumia against harakati za watu wengine
Hakuna muda wa kuheshimu mawazo muflisi!!!!! Uliwahi kumsikia Nyerere akitamka kuyakataa makabila flani yasiwe raisi????? Au ni propelled hisia zilizojengwa enzi zile zinakufanya uamini hilo????
Ni kweli inaweza kuwa ni sehemu ya ubinadamu wetu ila tusiundekeze,tunatakiwa tuupige vita kweli kweli kwasababu ni chanzo cha genocides nyingi dunia na atrocities mingi dunia. Kiukweli hatupo safe tukiendekeza huu ubaguzi.THE same to tz
only mkatoliki na mshia can be elected na sio sunni na waprotestant.
ubaguzi ni asili ya mwanadamu wala usikusumbue
Hata mimi namuunga Mkono huyu jamaa. Uislam ni zaidi ya rangi. Rangi ni maumbile lakini uislam ni roho!. Kama yael mambo yanayowafanya wakimbie kwao namna wamepachafua, wakiyapeleka na Marekani kama ambavyo historia yao imeonekana kwamba hakuna walipokwenda pakawa salama, waanze kukimbilia wapi tena? Itabaki dunia salama wapi tena?
Ninaungana na dunia kuwapiga marufuku kutawala Amerika ili kuwepo pahala pa kupumulia binadamu.
Naunga mkono hoja!.
Magaidi njoni na matusi yenu yakisindkikzwa na upagani wenu! One, Two Three... Goooooooooo!
Iman...
Moja Mohamedi na nyingine ya Yesu.
Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba huyo mama aliyekataa kutoa certificate alijihuzuru mara moja hakung'ang'ania ofisi,Hiyo ni tofauti kama vile umewekewa Nissan Patrol mbili za muundo mmoja, zinashabihiana sana, moja nyeupe, nyingine nyekundu.
Ukaambiwa tofauti ya kimsingi kati ya hizo mbili, ukataja rangi.
Ni tofauti, lakini katika msingi wa utendaji wa gari hiyo si tofauti ya kimsingi.
Huyu Carson anasema Waislamu hawafai kuiongoza Marekani.
Marekani ni nchi inayoendeshwa kwa secularism (kutofuata dini yoyote). Inaongozwa kwa misingi ya sheria.
Juzi hapa kumekuwa na mzozo Kentucky kwa sababu mama mmoja mkristo kakataa kutoa marriage certificate kwa watu wa jinsia moja wanaotaka kuoana.
Huyo mama anaitwa Kim Davis. Amesema imani yake ya kikristo haimruhusu kuoa hiyo marriage certificate kwa sababu hakubali kwamba ukristo unaruhusu watu wa jinsia moja wanapaswa kuoana.
Yeye kama county clerk ndiye mtu wa kutoa hiyo license. Dini yake haimruhusu. Kawanyima wenzake marriage certificate ambayo kisheria inaruhusiwa eti kwa sababu tu dini yake anaamini hairuhusu.
Ni sawasawa na Tanzania mtu aende kwa mkuu wa Wilaya kama Makonda, aende kuoa mke wa pili au wa tano, halafu ofisi ya mkuu wa wilaya mtu anayetia saini cheti cha ndoa akatae kumuwekea saini kwa sababu yeye karani ni mkristo na katika dini ya kikristo kuoa mwisho mke mmoja.
Kwa hiyo, utaona kwamba, ukitaka kuchunguza sana habari za dini, mtu yeyote anayetaka kuweka dini mbele ya sheria, awe mkristo au muislamu, hawezi kuongoza kazi za serikali.
Lwa sababu serikali kama hizi za Tanzania na Marekani ni secular, hazina dini.
Sasa kuwasema waislamu tu wakati habari hii ina apply hata kwa wakristo ni kuwaonea.
Kinacjotakiwa ni kuhakikisha mtu wa dini yoyote akitaka kuanza kazi ya serikali anakula kiapo cha kufuata aheria na mambo ya dini kuyaweka oembeni mpaka atakapotoka kazini.
Mkuu Kyenju, Trump amejisahihisha, Carson kagoma kabisaKwani Trump ni mweusi, umezisikia kauli zake?
Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba huyo mama aliyekataa kutoa certificate alijihuzuru mara moja hakung'ang'ania ofisi,
La pili hapo kwa Mkuu wa Wilaya Tz haiwezi kuleta mkanganyiko kwa sababu sheria ya Ndoa inatambua yule mke wa kwanza
Mijitu meusi bwana kwa ubaguzi,wakibaguliwa kwa rangi wanalalamika ila kwa dini ni sawa .meusi ndivyo tulivyo
Mimi ni mkristo na mfuasi mkubwa wa vitabu vya Carrison ila kwa kauli yake hiyo nimechoma vitabu vyake vyote... Ameniudhi sana !