Beki wa Manchester City anaendelea kusota jela

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
967
1,692
kama kawaida ya watu weusi kujisahau akipata pesa ,,basi na mwenzetu ndugu Mendy wa Man city yamemkuta makuu baada ya kurekodi video akifanya ngono na kuisambaza.
sasa yuko jela kwa kosa la kumzaririsha mwanadada huyo alie kua akifanya nae ngono na hana dalili ya kitoka
Man city i asemekana wamevunja mkataba nae na mesha poteza endozment zote alizo kua nazo kabla

video ===> Video of Manchester City Player, Benjamin Mendy & 18yr Old Girl He Allegedly Raped Leâks
 
Nilikuwa namkubali anavyo overlap na zile cross zake, baadae akaanza shuka kiwango kumbe ndio alikuwa anachanganya mambo, sasa hata akitoka huko ameshaharibu reputation ataishia ligi nyingine asahaulike kabisa.
 
Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli
 
Mkuu mbona issue ni jamaa kutembea na binti mdogo kwa kumbaka sio hiyo ya kurecord video.... so kesi yake ni kubaka
Usiombe mzungu apate sababu ndogo sana alafu ww uwe mweusi, yaani kama umefanya moja unaweza ukabiwa umefanya 11 na ni hatari kwenye jamii na adhabu nyengine zikafuata
 
Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli
Mkuu mchuma janga hula na wa kwao .....kuwa professional kunachangamoto sana, kwa maana inabidi uishi kwa umakini sana .....

Picha ya Mendy uingereza na ulaya kiujumla, ipo pinned kama mbakaji....hamna club itakayo msajili bila kupitia shida ya kukimbiwa na mashabiki (kwasababu wataona wamemsajili mbakaji)

Ila nafikiri hii kesi binti na familia yake walitaka kuitumia kwa maslahi kama madai ili mendy awalipe na wala hawakutaka kufika huku ila sheria imefuata mkondo wake...

Adam johnson yalimkuta haya akapotea mazima kwenye soka...
 
Kwani huyu Mendy kapigwa miaka mingapi jela
 
Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli
Kama hajafikia umri wa consent inamaanisha amebakwa maana Hajafikisha umri sahihi wa kufanya maamuzi....wewe ukikutwa Na katoto ka miaka3 hatakama kanafuraia mic unakabaka.
 
Kwani huyu Mendy kapigwa miaka mingapi jela
Kesi bado haijatolewa hukumu mkuu ila alinyimwa dhamana baada ya taarifa za kesi kuwa na mantiki.....so hizi video kuvuja zinamaanisha nikweli ni yeye ndie mhusika......

Lakini hatafungwa miaka mingi, nafikiri, sema ameharibu jina lake katika tasnia ya soka
 
Hili suala mm nahofia litachukuliwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia especially now mzozo baina ya UK na Ufaransa
 
Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli

Ku sex na underage ni kubaka ..
Muwe mnaelewa....
 
Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli
Sijaiona ila kuna kitu kinaitwa "statutory rape" yaani ukimtongoza benti ambaye ni under 18, hata akikubali bado inakuwa ni kubaka, hata huku Tz wengi wamefungwa kwa hii.
 
Back
Top Bottom