Ruhusa ya kwenda matembezi sio kutiwa. Matembezi ni maximum two hrs kuanzia saa 10 hadi 12 kamili jioni kwa siku za J1 na J2 tu, inaweza kuwa kila wiki au juma la mwisho wa mwezi. Kumfungia msichana mwenye miaka ishirini ndani sioni kama ni sawa. Anaepaswa kuwa monitored 24 hrs ni yule ambaye ni under 18.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] madame umeongea kwa uchungu. Hao wanaotetea huo upuuzi hebu tuwaulize kama watoto wao huwa wanawapa ruhusa ya kwenda kutiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja alikuja nikamtimua siku hiyo hiyo. Madalali watu wabaya sana. Sitaki kabisa udalali kwenye wadada wa kaziHuna uzoefu mkuu.
Kuna wakati unaletewa na madalali ambao huwa anawaambia akae mwezi mmoja au miwili akizidisha matatu then asepe. Wewe unajua ushapata binti wa kazi kumbe mwenzio anapita tu...
Ndani ya mwaka unakuwa Umebadilisha wengi kumbe dalali anakula hela ya nauli kila baada ya miezi mmoja au miwili.... Na anawatafutia wengi kwa mitindo huo. Hatari sana mjini
Acha uvivu mkuu, mwandalie mwanao chakula. Kazi ya hg iwe kumlisha tu na sio vinginevyo.
Ruhusa ya kwenda matembezi sio kutiwa. Matembezi ni maximum two hrs kuanzia saa 10 hadi 12 kamili jioni J1 na J2 tu, inaweza kuwa kila wiki au juma la mwisho wa mwezi. Kumfungia msichana mwenye miaka ishirini ndani sioni kama ni sawa. Anaepaswa kuwa monitored 24 hrs ni yule ambaye ni under 18.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nia snitch kwa mkeo.
Toka lini baba akamuelekeza house girl kazi za ndani? Kwanza mazoea na house girl mpaka mnamsema mama mjengo yameanza lini? Kwanza rudisha 90,000 ya watu apeleke vicoba
Sent using Jamii Forums mobile app