Beki tatu kamchemshia mwanangu parachichi

Wanagegedwa kuliko hata weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚we nyau kweli nimecheka kama fala dah😁😁😁😁😁😁
 
Huu Uzi umenipa idea yakuanzisha kampuni ya wasaidizi wa kazi zanyumbani.



HOUSEKEEPER FOR HIRE.

Yaani wafanyakazi wandani Wadada wa kazi na wanje shamba boi ma professional Yaani waliobebea ambao wanajua kazi zao sio hapo mnaowatoa makambako unawaleta mjini hata kutumia jiko la gas shida Yaani niwale walionaujuzi na wanaojiheshimu nakuheshimu kazi zao.

Just idea guys vipi mtani support wanajamvini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huyo ni binti wako si beki3 ww kaz yako kumlipa kazi yake kumaliza kazi zake akafanye yake na tena ukimbana ndo atakuwa anawaleta hadi nyumbani wampigie kweny kochi unalopenda kukaa.
Bila shaka wewe utakuwa ndiyo mgegedaji mwenyewe! Siyo kwa kukomaa huku
 
Tatizo lenu nyinyi mama wenye nyumba amuwapi semina elekezi ma house girl wenu, unatakiwa ukimleta mfanyakaz wa nyumbani umfundishe majukum yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nia snitch kwa mkeo.
Toka lini baba akamuelekeza house girl kazi za ndani? Kwanza mazoea na house girl mpaka mnamsema mama mjengo yameanza lini? Kwanza rudisha 90,000 ya watu apeleke vicoba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kazi ulee mwanao, ww unataka nani akulelee wanao??. Ukimaliza kulea ndio tafuta kazi endelea na mishe zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nilikuta yalinikuta kama haya aiseeee nilikunja dada nikakaba, nikabamiza ukutani.
Aliokolewa na baba yangu.
Sijui ingekuwaje.
Hiyo kitu inaumiza sana aiseeeeee.
Maumivu yake hayaelezeki.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…