Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Hapana...kuna magwiji kibao wametoa "Adele Tribute" kama huyu gwiji wa R n' BNdio na Beka amecopy sasa sijui kama ana kibali cha kucopy la sivyo mwenye nyimbo akisema afatilie dogo debe segerea linamhusu
Utakuwa hujui mziki mzuri na wanamuziki Wazuri, acheni kumpa dogo promo na sifa ambazo hanaHiyo cover ya dogo hata mi nmeikubali.Watu wengi sana wametoa cover za hiyo nyimbo,ila my favorite ni ya dogo Beka.Infact nmeisikiliza mara nyingi kuliko hata nyimbo original ya Adele
Wakenya bhana, eti kuvunja moyo, yaani wanatafsiri kila neno na maana yake halisi hata kama halitengenezi sentence vizuri!
Nashkur kwa kuliona hilo mkuu, nilidhan mm tuWith all due respect, dogo kautendea haki huo wimbo, na mandhari aliyochagua iko poa zaidi ya Joe Thomas!
Huyu Beka sijui kwann atusui kiukwel ana saut ambayo Barnaba haon ndan ila sijui ana fall wap!watanzania ni watu wenye wivu wakipuuzi sana, huo wimbo alioimba beka ameupa jina la "hello cover" yan copied frm orgnal ambayo kaimba adelle, wimbo huo umerudiwa na wasanii weng sana dunia nzima kama alivofanya beka na sio dhambi. bt the fact is "beka kauimba vizur huo wimbo tena kwa ufundi wa hali ya juu sana" yn kupitia huo wimbo nd nimegundua kuwa barnaba hamfikii dgo kwa kuimba.
nadhan kinachomsumbua sana mshkaji ni kutopigiwa sana promo lakn pia hana capital ya kutosha thats y..! lakin kama akipata management makini kama ya said fella.... bs hao wakina barnaba na kina msechu cjui benpol watamtafuta kwa tochi. tena anajua sana kuimba mziki wa kimataifa.Huyu Beka sijui kwann atusui kiukwel ana saut ambayo Barnaba haon ndan ila sijui ana fall wap!
Ndio maana unaitwa HELLO COVER,Mbona sio nyimbo yake jamani....
Umeongea point mkuu, Hiki ni kipaj kikubwa sana kwa kwel na hawa,wawekezaj wa music hawamuon? Mziki wa huyu mtu sio kiba wala dai anaeweza kushindana nae nazungumzia vocal aliyonayo mameneja wengne wazinguaj kutwa wanakupiga vizinga vya vocha na maji alaf wanajiita meneja?nadhan kinachomsumbua sana mshkaji ni kutopigiwa sana promo lakn pia hana capital ya kutosha thats y..! lakin kama akipata management makini kama ya said fella.... bs hao wakina barnaba na kina msechu cjui benpol watamtafuta kwa tochi. tena anajua sana kuimba mziki wa kimataifa.
Ahahahahaaa!! Dah kwel mkuu dai na kiba hawatii pua kwenye wimbo huu!Huu wimbo mgumu sana, nisingependa kumuona Mond au Kiba wakiuimba!
Mwanamuziki mwingine wa Tz ambaye nafikiri anaweza kuutendea haki ni Ruby, nilimsikia akiimba wimbo wa Whitney Houston wa always love you, alitisha!
Mkuu nimesema nikaonekana cjui mziki lakin hii cover katisha mno!!Beka katika wimbo huu katisha saana..., cover hii ameipiga poa mno...