Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,279
- 44,416
tusubirie hio november maana hizi ni pre order.mkuu chief-mkwawa hii ni habari njema kwa kila mwana teknolojia bei hizi ni bei za dagaa kabisaaa ukilinganiaha na bei za flagship zilizopo kama s3 na i5, tatizo linakuja wapi je bongo zitafika au ndo mpaka tu agize nje?? na kama zikija bongo lazima price iwe ya kutisha maana wabongo tunavyo penda faida ni hatari
Je Kimpumu kwa mama john bado kipo,namiss mafufu,wasalimie wote hapo Kwa mama john na kwa majirani zake hapo Soweto,Green City hoyeeeI cant wait lol,
Near by Mama John Mbeya.
tusubirie hio november maana hizi ni pre order.
Hii Nokia N1 ndio iko vipi kamanda?