mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,503
- 1,392
Nami nahitaji kujua aisee, wenyeji mkuje mtusaidieHabari za leo ndugu wote,
Naomba kuuliza wale wenye ujuzi na uzoefu wa visiwani zanzibar wanijulishe bei (average) za viwanja zilivyo huko zanzibar hususan katika maeneo kama Fuoni, Tunguu, Mwera, Maungani na Mombasa.
ahsanteni sana
Mtanganyika huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Sasa wataka bei za nn?
Unajua inategemea,Mombasa ni VIP zone,utaanzia 50m kwenda juu.
Na maeneo ya Fuoni pia yanatofauti,Kuna maeneo yanaanzia 4m na unapoikaribia barabara inafika mpaka 60m,similar to
Mwera,Maungani imepanda kwa kasi baada ya kutiwa lami,na mji mpya wa Fumba Town Project.
Nikweli Mombasa ni VIP zone.Shukrani kwa info hii. huwezi kuamini kuwa huko nyuma hakuna alokuwa anataka kuishi mombasa na sasa tunaambiwa ni VIP zone!!!!
Nikweli Mombasa ni VIP zone.
Ni sawa na ilivyokuwa Chukwani,pori ila sasa hivi bei mbaya sana
Privates houses kwa maeneo hayoPercentage kubwa ni nyumba za watu kuishi au ni mahoteli na sehemu za vivutio vya watalii?
Kweli mkuu,sitaki kabisa kusikia pande za kule.Mtanganyika huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Sasa wataka bei za nn?
Nikweli Mombasa ni VIP zone.
Ni sawa na ilivyokuwa Chukwani,pori ila sasa hivi bei mbaya sana
Mbona wao wanamiliki huku kwetu sehemu nyingi tu shida ipo wapi?Mtanganyika huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Sasa wataka bei za nn?
Mbona wao wanamiliki huku kwetu sehemu nyingi tu shida ipo wapi?