Bei za viwanja na nyumba Dar ni kichaa

Fafanua manake mie najua vitu vinapanda bei au kushuka kulingana principal mbili tu..supply and demand! Watu kuwa na hela nyingi inawezekana wameinvest sana,au wanafanya money laundering au ni udhaifu wa Serikali kusimamia vizuri monetary na fiscal policy
 
Unadhani ada estate nyumba bei gani???? Tena jirani na best bite???
 
Reactions: MC7
Kama Masaki mwaka 2005 kiwanja kilijuwa 1 billioni sishangai kwa maeneo hayo kwa mwaka huu kutoka bei hiyo
 
Waambie wakae wenyewe kwa hiyo bei. .....watu sasa hivi tunakwenda Makotopora
 
Ngoja nimchukulie mchepuko wangu panamfaa hapo
 
Wahi Dodoma mkuu soon nako patakuwa mji mkubwa,sio lazima wote tumiliki nyumba Dar kwanza joto na magonjwa hatarishi yamezidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…