Ndugu wana jf,naomba kufahamu bei za viwanja ambavyo vimepimwa na cda na vina hati.rafiki yangu ananiuzia kiwanja block f ,miganga west area sqm 502 dodoma naomba kujuzwa bei halisi
Bei ya bidhaa yoyote inategemea vitu kadhaa mojawapo ni demand and supply. Uhitaji wa viwanja ukiwa mkubwa kama ilivyo Dodoma kwa sasa lazima bei itakuwa juu. Hicho unachouliza ns sawasawa na kuuliza bei ya kiwanja Kinondoni karibu na barabara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.