Bei za TV brands tofauti tofauti tofauti

Bei za TV brands tofauti tofauti tofauti

ALITOP 65SMART 4K

Bei : *1,000,000
2b36b5fa-9a1c-4f1f-96fe-df606cb7064c.jpeg
 
Hisense TV 🔥OFFER 🔥
32” Normal __290,000/=
32” Smart __390,000/=
40” Normal ___490,000/=
40” Smart __570,000/=
43” Normal ___580,000/=
43” Smart __610,000/=
43” 4K UHD __710,000/=
50” 4K UHD __900,000/=
55” 4K UHD ___1,050,000/=❌
58” 4K UHD __1,150,000/=
65” 4K UHD _1,500,000/=
70” 4K UHD ___2,050,000/=
75” 4K UHD _ 2,300,000/=
85A6N __3,050,000/=

Free delivery in DSM
0745588735
Zina Warrant ya muda gani?
 
Hisense TV 🔥OFFER 🔥
32” Normal __290,000/=
32” Smart __390,000/=
40” Normal ___490,000/=
40” Smart __570,000/=
43” Normal ___580,000/=
43” Smart __610,000/=
43” 4K UHD __710,000/=
50” 4K UHD __900,000/=
55” 4K UHD ___1,050,000/=❌
58” 4K UHD __1,150,000/=
65” 4K UHD _1,500,000/=
70” 4K UHD ___2,050,000/=
75” 4K UHD _ 2,300,000/=
85A6N __3,050,000/=

Free delivery in DSM
0745588735
Mkuu nipe bei ya LG 50 4K UHD.
 
Duh!!! Wenzio walishashusha bei za TV kitambo sana. We uko juu sana
Agiza china hizi akaweka Bei karibia mara Tano na Bei ya china. Wabongo inabidi wajifunze sijui enzi hizo kwenda china ilionekana mbinguni Fulani saivi mambo yamerahishwa mno, yaani watu ni wezi kiasili. Mfuko wa sukari unachukulia 125k unauza 127 alfu mbili inatosha , ukiuza mifuko yako mia ama hamsini Maisha yanaenda.
Mtu anachukulia kitu china 20 anakuja kukiuza 4000 anakuambia ni gharama zimeongezeka. Wachina wakiweka bidhaa zao cheap wanakuja kulia kuwa wanaharibu soko. Wachina hata tenda za ujenzi dunia nzima akazishika. Ilibidi hata uongozi mchina apewee tu
 
Wanajf sijui mnashida gani asee!
Hivi mnadhani humu tunajaza server tu, hatuuzi au?
Kama TV bei juu pia unapita juu juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom