Bei za Tablets Ipad zikoje kwa sasa?

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Wadau bei za tablets ipad zinarange vp kwa sasa. Spec's za kawaida 2 ni kwa matumizi yangu ya kawaida.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Matumizi yako ya kawaida sisi tutayajuaje sasa?,kwanini usiyataje ili tujue tukushauri vipi
 
Niambie aina unayotaka, specs unazotaka kisha niambie lini unataka then nitakupa quote ya price, deliver Nov 11, 2012.

Mwenyewe ndio nazileta, moja kwa moja from jikoni, bei nzuri sababu sina operating cost.
 
Vipi tablets za Android? waweza leta? nina usongo na Samsung Galaxy 7.7 au Sony Xperia tab S.
 
Wadau bei za tablets ipad zinarange vp kwa sasa. Spec's za kawaida 2 ni kwa matumizi yangu ya kawaida.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kuna Samsung Gallaxy Tab ipo sokoni na inahitajika 850,000 na maongezi yapo. Kama utaipenda Ni PM.
 
Bei inategemeana na specs mkuu na inategemeana na upya. Bei 850,000 huwezi kupata specs hizo hapo juu na mpya kwenye boxi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom