Bei za mashine ya kukamulia miwa

Bei za mashine ya kukamulia miwa

Son.j

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
1,030
Reaction score
2,447
Pokeeni Salamu wana JF.
Langu mimi, ninaomba kujuzwa bei ya mashine ya kukamulia miwa na mahali zinapopatikana.
 
bei zinatofautiana kulinganana mota, ila nyingi hasa za umeme unaweza pata kwanzia M moja na inakuwa nzuri , ila ya mkono unaweza pata hata kwa laki 4,unaweza pata hapo sido, kariakoo kul wanakotengeneza vifaa vya chuma, na maeneo mengine mengi
 
shukran
 
Kwa Mashine za Miwa tutafute Mkuu 0762612213 za Mkono ni laki saba na nusu
Za umeme 1.2m
Zipo mpaka zenye vibanda

Pia Kutoka China 1.8m
Kuziona zaidi pitia website yetu www.najidakia.com
 
Mashine ya juice ya Miwa inauzwa used ila IPO vizuri sana wahi kabla haijachukuliwa mbezi beach
Laki nane na nusu tu 0762612213
IMG-20181010-WA0008.jpeg
IMG-20181010-WA0001.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom