Umemaliza salamu, msaidie basi tatizo lake.Hiyo salamu yako inawalenga watu wa,karatu au sumbawanga!....any way Taitu kalesa!
Sipo karatu mkuu...nilipenda,tu salamu hiyo!Umemaliza salamu, msaidie basi tatizo lake.
Saita Khae...Wakuu 'Posuta'
Mi ni mdau ninaetaka kuhamia Karatu hivi karibuni kikazi..ila pamoja na hayo mi ni mjasiliamali kwenye kilimo na ufugaji hivyo nataka kujua bei za mashamba kwa huko zipoje kwa ekari na pia fursa zingine za kilimo na ufugaji kwa huko.
Mkuu asante kwa kunipa mwanga...hata vijiji vya ndani ntatafuta tu mkuu mradi panafikika vizuri...maana kaskazini kweli sio kama mikoa mingine mingi ambako unapata ardhi bei chee mno tena ndani ya manispaa...ni changamoto kwa sisi wenye vimitaji vidogoSaita Khae...
Kwanza hongera kwa mawazo na fikra pevu za ujasiriamali. Kusema ukweli bei za mashamba karatu hasa maeneo 'along the main road' arusha-Ngorongoro ni kubwa sana. Labda uende vijiji vya ndani ndani unaweza kupata kwa bei nafuu. Lakini kwa maeneo kama rhotia, endarofta, ganako, sumawe, bashai, njiapanda, changarawe na kwingine bei ziko juu sana kwasababu maeneo hayo kuna wawekezaji wakubwa wa mahoteli wamenunua..
Tatizo sio hoteli ila bya Nature Waambulu hawauzagi Aridhi hovyo. ukiona kaauza basi ujue kapata shida sana mimi nimekaa kule sana najua hilo. Ukienda wakati wa kilimo ndo utaelewa hili make Wilaya nzima huwa imepambwa kwa mahindi. so Jamaa sio wauzaji wa Aridhi.Saita Khae...
Kwanza hongera kwa mawazo na fikra pevu za ujasiriamali. Kusema ukweli bei za mashamba karatu hasa maeneo 'along the main road' arusha-Ngorongoro ni kubwa sana. Labda uende vijiji vya ndani ndani unaweza kupata kwa bei nafuu. Lakini kwa maeneo kama rhotia, endarofta, ganako, sumawe, bashai, njiapanda, changarawe na kwingine bei ziko juu sana kwasababu maeneo hayo kuna wawekezaji wakubwa wa mahoteli wamenunua..
Haaaa wazaramo nao wangekuwa kama wambulu ardhi DSM isingesgikika,wao kila ngoma (Akitoa mwali) anauza shamba.Tatizo sio hoteli ila bya Nature Waambulu hawauzagi Aridhi hovyo. ukiona kaauza basi ujue kapata shida sana mimi nimekaa kule sana najua hilo. Ukienda wakati wa kilimo ndo utaelewa hili make Wilaya nzima huwa imepambwa kwa mahindi. so Jamaa sio wauzaji wa Aridhi.
Wakuu 'Posuta'
Mi ni mdau ninaetaka kuhamia Karatu hivi karibuni kikazi..ila pamoja na hayo mi ni mjasiliamali kwenye kilimo na ufugaji hivyo nataka kujua bei za mashamba kwa huko zipoje kwa ekari na pia fursa zingine za kilimo na ufugaji kwa huko.
Posuta qurtama goloayo, mkuu wanakuja na Mimi pia nlitaka kujua...Wakuu 'Posuta'