Hii ya makampuni madogo madogo ambayo hayafahamiki huku kwetu risk ya kupigwa ni kubwa kumbuka unatuma pesa kwa kuliona gari kwenye picha hawana hata wakala hapa Bongo ndo maana tunang'ang'ania haya makubwa atlest usalama wa pesa yako ni mkubwaJapan Kuna makampuni mengi yanayouza used car, haya mnayoyafaham ni kwasababu yamejijengea umaarufu na kujikuta hata bei yanauza yanavyotaka lakini Kwa Yale yanayochipukia huitaji mzunguko was haraka wa pesa hivyo kuuza Kwa bei ndogo.
Pia sio kila muda ni mzuri Kwa kuagiza gari muda mzuri ni mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huko minada ya magari Japan hushamiri magari
Pia kabla hujaagiza omba auction sheet
Gari ikianzia grade 3.5 sio mbaya na ikiwa grade R achana nayo
Auction sheet ndio muhim.km zitakua za sahih kabla hazijaja kupigwa shoti hukuJapan Kuna makampuni mengi yanayouza used car, haya mnayoyafaham ni kwasababu yamejijengea umaarufu na kujikuta hata bei yanauza yanavyotaka lakini Kwa Yale yanayochipukia huitaji mzunguko was haraka wa pesa hivyo kuuza Kwa bei ndogo.
Pia sio kila muda ni mzuri Kwa kuagiza gari muda mzuri ni mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huko minada ya magari Japan hushamiri magari
Pia kabla hujaagiza omba auction sheet
Gari ikianzia grade 3.5 sio mbaya na ikiwa grade R achana nayo
Uko sahihi kabisa.M nmeagiza mwenyewe nmesave karibu 4M
Nakushauri tu,acha uoga mifumo iko very secured
Kama ukiamua kuagiza mwenyewe usiweke mtu kati
Lipa mwenyewe bank kila kitu
Ikifika wacheki clearing agent Trimex company
Wakutolew gari unawalipa laki 2 zao gharama zingine zote lipa mwenyewe wakutumie tu control number!
NOTE:mimi nliagiza SBT nlipokea gari in excellent condition hata mimi sikutarajia pia ilikuja na service card+mafuta nusu tank ya kuanzia🥹
Mpaka leo haijasumbua
Asante mkuu kwa maelezo yako mazuriJapan Kuna makampuni mengi yanayouza used car, haya mnayoyafaham ni kwasababu yamejijengea umaarufu na kujikuta hata bei yanauza yanavyotaka lakini Kwa Yale yanayochipukia huitaji mzunguko was haraka wa pesa hivyo kuuza Kwa bei ndogo.
Pia sio kila muda ni mzuri Kwa kuagiza gari muda mzuri ni mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huko minada ya magari Japan hushamiri magari
Pia kabla hujaagiza omba auction sheet
Gari ikianzia grade 3.5 sio mbaya na ikiwa grade R achana nayo
Asante nitazingatia hiloGari langu la kwanza niliagiza mwenyewe.
Jambo la muhimu/lazima ni kuwa sambamba na mjuzi wa kuagiza pamoja na kutunza picha pamoja na taarifa muhimu.
Kwa kuagiza wewe unaweza kuomba kupunguziwa pesa.
Usiagize bila kuangalia picha nyingi kwa makini.
Pia jiridhishe na ushuru kwa kutumia kikokotoo cha TRA.
Japan Kuna makampuni mengi yanayouza used car, haya mnayoyafaham ni kwasababu yamejijengea umaarufu na kujikuta hata bei yanauza yanavyotaka lakini Kwa Yale yanayochipukia huitaji mzunguko was haraka wa pesa hivyo kuuza Kwa bei ndogo.
Pia sio kila muda ni mzuri Kwa kuagiza gari muda mzuri ni mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huko minada ya magari Japan hushamiri magari
Pia kabla hujaagiza omba auction sheet
Gari ikianzia grade 3.5 sio mbaya na ikiwa grade R achana nayo
M nmeagiza mwenyewe nmesave karibu 4M
Nakushauri tu,acha uoga mifumo iko very secured
Kama ukiamua kuagiza mwenyewe usiweke mtu kati
Lipa mwenyewe bank kila kitu
Ikifika wacheki clearing agent Trimex company
Wakutolew gari unawalipa laki 2 zao gharama zingine zote lipa mwenyewe wakutumie tu control number!
NOTE:mimi nliagiza SBT nlipokea gari in excellent condition hata mimi sikutarajia pia ilikuja na service card+mafuta nusu tank ya kuanzia🥹
Mpaka leo haijasum
Mkuu naomba msaada wa kujua gharama za kutuma pesa japan wakati unafanya malipo ni USD ngapi?M nmeagiza mwenyewe nmesave karibu 4M
Nakushauri tu,acha uoga mifumo iko very secured
Kama ukiamua kuagiza mwenyewe usiweke mtu kati
Lipa mwenyewe bank kila kitu
Ikifika wacheki clearing agent Trimex company
Wakutolew gari unawalipa laki 2 zao gharama zingine zote lipa mwenyewe wakutumie tu control number!
NOTE:mimi nliagiza SBT nlipokea gari in excellent condition hata mimi sikutarajia pia ilikuja na service card+mafuta nusu tank ya kuanzia🥹
Mpaka leo haijasumbua
Mwezi Machi mwaka huu nilikuwa ofisi za Beforward kule Chimara St. Walikuja watu kama 5 wakiulizia gari fulani ambayo walimpa mtu pesa awaagizie (kama huu ushauri unaompa mtoa mada).Usiagize gari hasa kama n mara ya kwanza n bora uwape watu wenye uzoefu wakuagizie wewe ukafate,ila ukisema uagize wewe kama wewe nadhani sio Mbaya ukijifunza kitu kwa utakachokutana nacho.
Asante sana kwa ushauri mkuu uliyonyooka lakini nilikuwa na swali kidogo je ukienda ofisini kwao wakuagizie wao hakuna charge zozote zinazoongezeka na pia je kuna chance ya kufanya bergainingMwezi Machi mwaka huu nilikuwa ofisi za Beforward kule Chimara St. Walikuja watu kama 5 wakiulizia gari fulani ambayo walimpa mtu pesa awaagizie (kama huu ushauri unaompa mtoa mada).
Walifika pale wakiwa hawajui kinachoendelea kwa sababu huyo mtu hapatikani, ofisi imefungwa, na namba za simu hazipatikani. Wao waliona gari Beforward, wakachukua hadi reference number, ila pesa wakampa huyo mtu mwingine awaagizie.
Kwa ufupi kumbukumbu zilionesha ile gari ilishatolewa mwezi mmoja nyuma kwa jina la mtu mwingine. WAMEPIGWA.
Ushauri kwa mtoa mada, gari langu la kwanza niliagiza mwenyewe Beforward mwaka 2014. Nimelitumia hadi June mwaka huu baada ya kuagiza jingine kupitia Enhance Auto (hawa nilienda ofisini kwao na tukamalizana kila kitu. Muda wa kulipa ushuru walinitafuta, nikalipa kupitia simu, wiki 2 mbele nikapigiwa nikachukue ndinga).
Nenda kwenye ofisi za Autocom mtaa wa Samora. Mengine yatafuata baada ya kufika kwenye ofisi yao. Achana na habari za kumpa mtu akuagizie.
Ukienda ofisini kwao, hakuna gharama zitakazoongezeka. Na chance ya kupunguziwa ni kubwa. Kuna watu niliwaelekeza wakaenda Jumatatu wiki iliyopita, walikuwa wanataka kuagiza Toyota Rush. Walipunguziwa dola 700 kwenye bei inayoonekana mtandaoni. Binafsi nilipunguziwa kutoka $5127 hadi $4660. Kama ni mtu usiyetaka usumbufu, lipia gharama za gari, inspection, hadi clearance. Wkt wa kulipa ushuru watakutafuta ulipie, baada ya hapo watakutafuta ukachukue gari lako.Asante sana kwa ushauri mkuu uliyonyooka lakini nilikuwa na swali kidogo je ukienda ofisini kwao wakuagizie wao hakuna charge zozote zinazoongezeka na pia je kuna chance ya kufanya bergaining
SawasawaAgiza ila mwenyewe kwan ma agent wana macho gan ambayo wewe ukiwa pale unashindwa kuona? Wasiliana nao pale waombe auction report icheki kama gar itakua fresh unachkua.
Hata gari za mkononi kibongo bongo gari bei chee ni mwanzo wa mwaka na mwisho wa mwaka. Maana purukushani za xmass, mwaka mpya na ada za shule huwafanya watu kuchizika na kuuza uza tu chuma kali bei chee! Gari zangu zote nimenunua nyakati hizo...Japan Kuna makampuni mengi yanayouza used car, haya mnayoyafaham ni kwasababu yamejijengea umaarufu na kujikuta hata bei yanauza yanavyotaka lakini Kwa Yale yanayochipukia huitaji mzunguko was haraka wa pesa hivyo kuuza Kwa bei ndogo.
Pia sio kila muda ni mzuri Kwa kuagiza gari muda mzuri ni mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huko minada ya magari Japan hushamiri magari
Pia kabla hujaagiza omba auction sheet
Gari ikianzia grade 3.5 sio mbaya na ikiwa grade R achana nayo
Mkuu naomba msaada wa kujua gharama za kutuma pesa japan wakati unafanya malipo ni USD ngapi?
Asante sana kwa ushauri mkuu uliyonyooka lakini nilikuwa na swali kidogo je ukienda ofisini kwao wakuagizie wao hakuna charge zozote zinazoongezeka na pia je kuna chance ya kufanya bergaining
Thanks a lot.
Nilichomuelekeza ni kwenda kwenye ofisi ya kampuni husika kama Beforward, Enhance Auto, SBT Japan, Autocom, na si kwa third party (commission agents).Kwanini akuagizie?
Hela yako access ya mtandao unayo chagua lipia gari
Hakuna advantage yeyote ya kuagiziwa na agent tena charges lazima ziongezeke coz nayeye anapata cammisions kwa kila gari atakayoagiza
Hizo negotiations na kupunguziwa bei hata wew unaweza kuzifanya ukapunguziwa.
Kama hutaki kuagiza nenda yard
The only advantage kama labda watu wanaogiza magari mengi hasa wenye yard wao huwa wanapunguziwa ushuru so kama una mtu unamfahau,hapo sawa