Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 319
- 209
Kwa nini mkuu?Usiagize gari hasa kama n mara ya kwanza n bora uwape watu wenye uzoefu wakuagizie wewe ukafate,ila ukisema uagize wewe kama wewe nadhani sio Mbaya ukijifunza kitu kwa utakachokutana nacho.
Wakuu poleni na majukumu, leo niliingia mtandaoni kidogo kucheki magari ambapo nimepitia kampuni mbalimbali za uuzaji magari lakini katika kampuni zote kuna kampuni moja "Autocom Japan" naona bei zao ziko cheap sana hadi nikashangaa labda magari yao yana shida maana variation na kampuni nyingine ni kubwa
Hali kadhalika nikaingia kwenye kikokotoo cha TRA nione hadi gari inafika bongo itacost kiasi gani then nikalinganisha na price kwenye show room zetu au kuagiza kupitia makampuni ya uagizaji kitu nilichokigundua ukiagiza mwenyewe price inashuka sana kuna gari unapata different ya milioni 5 nikasema hii hapana labda nakosea ngoja niwaulize wadau wa mandinga kuona kama ni kweli different iko hivyo.
Pia nimegundua kama gari ni ya miaka ya zamani let say 2010 kodi yake TRA ni kubwa kuliko gari ya 2011 au 2012.
Lakini kama ni kweli why watu hawaagizi wenyewe wana opt kununua show room au kuagiza kupitia kampuni wakati price variations ni kubwa coz kama unaweza ku save not less than 3M why usiagize? Na bado hapo hujafanya bergaining na kampuni husika
Soon nitaagiza gari yangu pendwa "Subaru Forester SH5" maana kwa bajeti niliyokuwa nayo niliona kama sitoboi lakini baada ya leo kujipa muda wa kupitia kampuni mbalimbali za magari na kikokotoo nimeona nipo ndani ya bajeti
Nawasilisha.
Asante mkuu kwa kunipa moyo ngoja nifanye mamboM nmeagiza mwenyewe nmesave karibu 4M
Nakushauri tu,acha uoga mifumo iko very secured
Kama ukiamua kuagiza mwenyewe usiweke mtu kati
Lipa mwenyewe bank kila kitu
Ikifika wacheki clearing agent Trimex company
Wakutolew gari unawalipa laki 2 zao gharama zingine zote lipa mwenyewe wakutumie tu control number!
NOTE:mimi nliagiza SBT nlipokea gari in excellent condition hata mimi sikutarajia pia ilikuja na service card+mafuta nusu tank ya kuanzia🥹
Mpaka leo haijasumbua
Mkuu fafanua kidogo, kwanini ukiagiziwa na mtu unakuwa na assurance kwamba itakuja kama inavyoonekana kwenye picha?Agiza subaru yako mkuu,ila itunze sana hiyo picha utakayoiona ONLINE maana unaweza jikuta presha hii hapa na hujawahi kuwa na presha baada ya gari kufika na kwenda kuiona Subaru yako ni ile ile kwenye picha ila itakua imekuvunja moyo kwa 90% kwa muonekano na hali itakayokua nayo.
Gari ya 1 usiagize mwenyewe,ni ushauri tu Dont risk hela enyewe ndio hiyo hiyo.
Be forward unalipia kwenye USD Account CRDB kiroho safi. unaongezea 30 USD ya kutuma pesa japanM nmeagiza mwenyewe nmesave karibu 4M
Nakushauri tu,acha uoga mifumo iko very secured
Kama ukiamua kuagiza mwenyewe usiweke mtu kati
Lipa mwenyewe bank kila kitu
Ikifika wacheki clearing agent Trimex company
Wakutolew gari unawalipa laki 2 zao gharama zingine zote lipa mwenyewe wakutumie tu control number!
NOTE:mimi nliagiza SBT nlipokea gari in excellent condition hata mimi sikutarajia pia ilikuja na service card+mafuta nusu tank ya kuanzia🥹
Mpaka leo haijasumbua
Aingie website ya BE Forward bargain nao upate discount lipia akaunti Yao ya CRDB TZ Kwa USD subiria gari yakoAgiza ila mwenyewe kwan ma agent wana macho gan ambayo wewe ukiwa pale unashindwa kuona? Wasiliana nao pale waombe auction report icheki kama gar itakua fresh unachkua.
Mcheki lukos chriss anazo nyingiNgoja nami nitaagiza baiskel yangu
Sawa mkuuAingie website ya BE Forward bargain nao upate discount lipia akaunti Yao ya CRDB TZ Kwa USD subiria gari yako