Bei za mafuta zapanda kinyemera Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei za mafuta zapanda kinyemera Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by amba.nkya, Mar 7, 2012.

 1. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wanajamvi.
  Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona bei za mafuta kupanda ghafla bila taarifa kutoka EWURA kama ulivyo utaratibu uliozoeleka wa kutangazwa kwa bei zinapobadirika kwenye vituo vya mafuta. Leo nimeenda kujaza mafuta Big Bon pale Sinza Mori nikakakuta bei ya petroli imepanda kutoka bei ya awali sh 1991 hadi kufikia sh 2114.


  My take: Je EWURA hawajui hilo au wamenyamazia?

  Nawasilisha....
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Platts zinaonyeshaje kwenye soko la dunia? Bei zimepanda kidogo sasa hapa zipungue kwa sababu gani? Kama vipi tutafute mafuta yetu wenyewe ambayo kwa ufisadi huu uliopo yatatuletea laana. Tukitegemea brokers wa Geneva tusitegemee tuona muujiza.
   
 3. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Acha uchochezi,

  soma Daily News ya leo, na Nipashe pia....
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  mbona kwenye magazeti ya leo kuna bei elekezi ya ewura?
   
Loading...