seleboy458
Member
- Mar 2, 2019
- 8
- 3
anayekua price ya kutuma barua kutoka Arusha kwenda Dar kwa Ems aniambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei yao huwa ni moja tu,Bei ni elfu kumi na tano kutuma mkoa wowote hapa tanzaniaanayekua price ya kutuma barua kutoka Arusha kwenda Dar kwa Ems aniambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Waswahili ndo walivo hawana lugha customer care nikama anaamlisha.....jifunze polite language
Labda atakuwa mtu wa kutoka pande ya Kenya maeneo ya Kibera.!Waswahili ndo walivo hawana lugha customer care nikama anaamlisha.....
Sent using Jamii Forums mobile app