Bei za CV joint & Ball joint

Bei za CV joint & Ball joint

Kuna duka moja Kariakoo wanauza hivi vifaa kwa hii bei
CV Joint 25,500/- kwa pisi moja na mbili 40k
Ball joint 15k kwa pisi mojana mbili 30k
Je ni sahihi kweli au ndio fake?
Sio zina tofautiana gharama kulingana na aina ya gari?
 
Bei zake mkuu. Kuhusu copy au OG obviously izo ni copy. Ila zitakusukuma.
 
Wewe nunua uweke!! Nimeweka spark plugs za 60K kwa zote nne toka Sept 2021.
 
Back
Top Bottom