Bei za chakula kwenye migahawa yanaposimama mabasi ya mikoani ziko juu sana

Sahani20

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
1,518
740
Hivi ni sahihi bei za chakula kuwa juu katika migahawa ya chakula wanakopelekwa kula abiria wa mikoani, sehemu kama Singida, Dodoma, Gairo, Manyoni na maeneo mengine mengi kama hayo?

Nini chanzo cha bei kuwa juu kiasi kile?
 
Yeah mi niliahirisha kula pale Gairo sikuamini nakutana na bei ambazo nikiwa dar ningekula chakula kizuri zaidi kwa hiyo bei. Bora hii njia ya Dar - Moshi - Arusha vyakula vyao huwa ni standard
 
Hivi ni sahihi bei za chakula kuwa juu katika migahawa ya chakula wanakopelekwa kula abiria wa mikoani, sehemu kama Singida, Dodoma, Gairo, Manyoni na maeneo mengine mengi kama hayo?

Nini chanzo cha bei kuwa juu kiasi kile?

Yale ni maeneo ya utalii wageni ni wengi sana acha watu wapige hela
 
Back
Top Bottom