Habari wakuu,
Samahani, naomba kufahamishwa bei ya bodaboda mpya na used pamoja na ushauri wa aina ya bodaboda iliyo bora zaidi kibiashara kwa hapa Dar.
Pia, vitu vya kuzingatia kabla ya kununua bodaboda used. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Asante sana mkuu🙏🏽Bodaboda mpya BM 125 HD utaipata kwa 3,150,000 mpaka 3,320,000 kwa G7 traders Ltd. Hiyo ndo pikipiki nzuri kwa biashara kwa maoni na experience yangu. Muhimu kuzingatia malipo ya LATRA ya mwaka 17,000, GPRS 200,000/=
Sawa sawa kaka, shukrani sanaBodaboda mpya BM 125 HD utaipata kwa 3,150,000 mpaka 3,320,000 kwa G7 traders Ltd. Hiyo ndo pikipiki nzuri kwa biashara kwa maoni na experience yangu. Muhimu kuzingatia malipo ya LATRA ya mwaka 17,000, GPRS 200,000/=