Awamu hii viwanja vitashuka sana bei kama serikali itatekeleza maazimio yake, Lukuvi anafanya kazi nzuri sana kwenye wizara yake. Kitendo cha kuyapa nguvu makampuni binafsi kupima ardhi kitarahisisha sana upatikanaji wa ardhi kwa bei nafuu. After 2 years ardhi itakua sio ghari sana kulinganisha na awamu ya 4.