Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

kambipopote

Senior Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
121
Reaction score
22
Habari zenu wanajamvi.
Nahitaji msaada kwa yeyote anaye fahamu bei ya Kulangulisha vitunguu swaumu katika soko la Kariakoo-Dar.
Nipo Iringa nina vitunguu swaumu nataka kupeleka Dar.
Kama kuna mtu anahitaji tafadhali tuwasiliane. Au kama kuna mtu ana namba ya madalali wa Kariakoo, tafadhali nipatie.
Natanguliza shukran zangu za dhati.

KATI YA 3-4 ELFU KWA KILO KWA BEI YA MKULIMA
 
Habari zenu wanajamvi.
Nahitaji msaada kwa yeyote anaye fahamu bei ya Kulangulisha vitunguu swaumu katika soko la Kariakoo-Dar.
Nipo Iringa nina vitunguu swaumu nataka kupeleka Dar.
Kama kuna mtu anahitaji tafadhali tuwasiliane. Au kama kuna mtu ana namba ya madalali wa Kariakoo, tafadhali nipatie.
Natanguliza shukran zangu za dhati.

Habari yako Mimi nataka nijaribu Kulima pwani unaweza kunipatia mbegu? Nicheki 0652136131
 
Back
Top Bottom