Bei ya vinjwaji kwenye viclabu Dar

Level 8 bia ni elf 9. Club next door. Samaki samaki na Element bia ni 6000
 
Ukienda club 40/40 tabata Heineken & 3000 ha ha ha haha
 
Nadhani watu wanachofata niseme mimi hapa ni mziki mzuri. Na usalama wa gari lako na aina ya watu unaokutana nao. Ukienda mziki tabata au Sinza ni tofauti na ukienda mziki Masaki au Posta.
Hata machangudoa unaokutana nao element ni tofauti na machangudoa wa Sinza au tabata.
 
Umesomea nje una Elimu gani?
 
Exactly, watu walishamshtukia humu kitambo sana
Acheni mawazo potofu.. Le Mutuz hana maandishi ya hivyo.. Huyo coco anaonekana kabisa ni mwanamke..

Huu uzi ni wa 2010, ni ngumu mtu kufake huu uandishi kwa miaka yote hiyo.. Le Mutuz maandishi yake yanasomeka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mleta uzi huu mskul wa lumumb we endelea Kunywa banana,mambo ya Level 8 waachiee wenyewe

Ova
 
7500 ni bei ya virukuu vyangu vitano vya safarii yaani hapo natoka roho imeridhika kabisa....."🙂🙂🙂
 
Hivi coco umekulia nje eeh? Kiswahili chako huwa kinanipa shida saana kukielewa.

It's honest quest.


Mimi niliwahi kumwuliza kama ni mTZ au la? Akanijibu ni mTZ. Ila kwa maelezo yake hapo juu sasa nimeelewa sababu ya kuwa na Kiswahili cha wasiwasi.
 
Kipindi hicho bashite alikua wapi?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hahaahahahaahaaaaaaaaa cocochanel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha weeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…