Bei ya unga mtaani kwenu ipoje?

Bei ya unga mtaani kwenu ipoje?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,132
Reaction score
24,438
Vipi wandugu, hali ya bei ya unga mtaani kwenu ipoje?

Huku kilo ya unga wa mahindi ni 2200. Mfumuko upo juu.

Kiongozi wa wanyonge anashangilia hilo, anasahau kuwa wanaofaidi si wakulima bali ni walanguzi kwa 98%.

Wewe na serikali yako mliwazuia wakulima kuuza mahindi nje yakawadodea hadi wakaamua kuwauzia walanguzi kwa bei ya kutupwa 10000 mpaka 20 kwa gunia.

Sasa walanguzi ndo wanasaga unga na kuuza pia mahindi kwa bei ghali na kuwaumiza wananchi leo.

Inasisimua sana hii movie mheshimiwa. Nina mengi ya kuandika ila mwanaJF mwenzangu niambie, bei
ya unga ipoje mtaani kwako?
 
Tuachane na ulaji wa Ugali unaharibu uwezo wa kufikiri. Ngano bei nzuri lakini wadau hawataki kula Ngano
 
Bei haijapanda kivile ni kwamba 1500 kwa 1Kg... which means 7500 kwa kilo 5.
 
Kama ulipiga kura kwa chama utauziwa kilo moja mia saba.
 
Back
Top Bottom