Bei ya Tecno phantom 6 & 6+

Bei ya Tecno phantom 6 & 6+

Bonson05

Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
77
Reaction score
12
Jamani wadau naombeni msaada mnijuze juu ya bei halisi ya phantom 6 iliyozinduliwa hivi karibuni kwa shilingi za kitanzania....
nawasilisha
 
Mbona kuna website niliona kwa kenya inauzwa ksh.. 17499 phantom 6 na ksh.. 30000 kwa 6+ inakuaje kibongobongo bei inakuwa juu mara dufu zaidi?
 
Back
Top Bottom