samahani wadau,naomba nijuzwe bei ya sim tajwa hapo juu kwa mlio dar,nahitaki kunua ila huku mikoan ni kama wanatuuzia bei juu sana! natnguliza shukran
Kwani wewe uko mkoa gani? nimeona dsm maduka mengi wanaanza na 150, hata huku mbeya maduka mengi yanaanza na 150 lakini hapa hapa mbeya kunamaduka yaanauza125