Kuna jamaa anaitwa Khan anaishi maeneo ya segerea huyu jamaa ni mkali sana kwa suti na bei yake ni Tshs. 100,000Habari wana JR !
Natumai wote ni wazima wa afya , bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Mwisho wa mwaka huu rafiki yangu anafunga ndoa lakini mpaka sasa hajajua wapi hatapata suti nzuri kwa ajili ya harusi yake.
So nilipenda kujuzwa wapi hata pata suti nzuri na kwa bei gani ?
Pia kama uliwahi shona kwa speshoz na wabunifu wengine nitajie bei zao pia .
Asanteni kwa ushirikiano wenu
eka namb ZAKEKuna jamaa anaitwa Khan anaishi maeneo ya segerea huyu jamaa ni mkali sana kwa suti na bei yake ni Tshs. 100,000
Ngoja nikuulizie kwa jamaa. Ila ni maarufu sana eneo hilo.w
eka namb ZAKE
Segerea mwisho au kwa bibi? Ila uweke no piaNgoja nikuulizie kwa jamaa. Ila ni maarufu sana eneo hilo.
Mwenzio kauliza wapi hatapata suti wewe unamuelekeza atakapopata sutiKuna jamaa anaitwa Khan anaishi maeneo ya segerea huyu jamaa ni mkali sana kwa suti na bei yake ni Tshs. 100,000
Segerea sokoni ni maarufu sana hebu jaribu kuulizia hukoMwenzio kauliza wapi hatapata suti wewe unamuelekeza atakapopata suti
Bado hujaelewaSegerea sokoni ni maarufu sana hebu jaribu kuulizia huko
Suti za kushona Bongo huwa zinafananaje?Bado hujaelewa
Anashona..??Kuna jamaa anaitwa Khan anaishi maeneo ya segerea huyu jamaa ni mkali sana kwa suti na bei yake ni Tshs. 100,000
Anashona..??
NdiyoAnashona..??
Habari wana JR !
Natumai wote ni wazima wa afya , bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Mwisho wa mwaka huu rafiki yangu anafunga ndoa lakini mpaka sasa hajajua wapi hatapata suti nzuri kwa ajili ya harusi yake.
So nilipenda kujuzwa wapi hata pata suti nzuri na kwa bei gani ?
Pia kama uliwahi shona kwa speshoz na wabunifu wengine nitajie bei zao pia .
Asanteni kwa ushirikiano wenu
Mtoa mada uende tu soko la samaki ferry pale huyo jamaa yako hatapata suti