Siku chache tangu rais azuie uingizwaji wa sukari ya nje. bei imepaa kutoka sh. 2000 hadi 2500 pia mfuko wa kg 50 ulikuwa 45000 sasa hivi 47000 . serikali isipo liangalia hili suala vizuri ifikapo mwezi ujao chai hatutakunywa tena. kingine najiuliza ina maana viwanda vyetu haviproduce au kuna hukuma nyuma yake?wenye mamlaka chunguzeni suala hili
Hawa vijana wanatumwa na wanasiasa uchwara kwa malipo kiduchu...wao ni kuandika habari bila kujua wanachoandika....siku hizi wamepewa column kwenye baadhi ya magazeti kuandika upuuzi.Weka sawa taarifa yako; f.y.i, Mfuko wa KG 50 kwa SH. 47,000= hiyo ina maana KG 1 ni SH. 940= ambapo siyo kweli hata chembe.
Sukali ndio nini?Siku zote serikali hawajahi kuwa wajinga wamefuta ada lakini hiyo ada tutalipia kwenye sukali tena mara mbili yake.
Kamuulize dada yako.Sukali ndio nini?
Siku chache tangu rais azuie uingizwaji wa sukari ya nje. Bei imepaa kutoka sh. 2000 hadi 2500 pia mfuko wa kg 50 ulikuwa 45000 sasa hivi 47000.
Serikali isipoliangalia hili suala vizuri ifikapo mwezi ujao chai hatutakunywa tena. Kingine najiuliza inamaana viwanda vyetu haviproduce au kuna hukuma nyuma yake?
Wenye mamlaka chunguzeni suala hili
Mmmh,maneno tu hayo,tuliona mafuta,ikawaje?serekali imewaonya wote wanaoficha sukari!/ Ole wao!
HAYA NI MAMBO YA SARBOTAGE YASIYOVUMILIKA KAMWE!/
Ngoja niweke sawa kwani huyu aliepost haijuwi hii industry vizuri 50KG YA SUKARI= 93,000-94,000 Kwa bei za jana na 25KG ilikuwa 46,000-48,000 na 1k ilikuwa 2000-2200 kwa Dar es salaam. Mahitaji ya sukari kwa matumizi ya viwanda na brown sugar for domestic use jumla ni Tonne 590,000. Viwanda vyetu vya ndani vinauwezo wa kuzalisha Tonne 320,000 tu brown sugar for domestic use ambapo sukari nyeupe yaani white refined sugar haizalishwi inchi kwa hiyo tunaagiza kutoka inje kiasi cha Tonne 170,000. Jumla ya mahitaji ya brown sugar kwa mwaka ni Tonne 420,000 kwahiyo tunaupungufu wa Tonne 120,000 ambayo lazima iagizwe inje ili kuziba gapu. Mpaka hapo utaona kwamba kuagiza sukari inje haiepukiki. Binafsi naona Rais alikuwa sawa ili kuzisukuma mamlaka zinazohusika kutafuta wawekezaji wanaoweza kuziba gap la Tonne 120,000 brown sugar ambapo siyo jambo la siku moja ni mchakato. Tatizo lililopo ni uingizwaji wa sukari nyingi za magendo kupitia bandari bubu ndiyo linalo asili kwa kiwango kikubwa soko la sukari ya ndani. Niliwahi kutoa mapendekezo humu kuwa ili kukabiliana na tatizo hili lazima serikali iunde kikosi kazi kitakacho husisha vyomba vyote vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kukabiliana na uingizwaji wa bidhaa za magendo kupitia bandari bubu au hata bandari zetu kama tulivyoona kwenye makontena kupita bandarini bila kulipiwa huwezi jua kama na sukari zilikuwemo. Zinahitajika juhudi za kimakusudi kabisa kukabiliana na tatizo hili siyo jambo la siku mojaSiku chache tangu rais azuie uingizwaji wa sukari ya nje. Bei imepaa kutoka sh. 2000 hadi 2500 pia mfuko wa kg 50 ulikuwa 45000 sasa hivi 47000.
Serikali isipoliangalia hili suala vizuri ifikapo mwezi ujao chai hatutakunywa tena. Kingine najiuliza inamaana viwanda vyetu haviproduce au kuna hukuma nyuma yake?
Wenye mamlaka chunguzeni suala hili
Utakua ule mfuko wa kg 25 jamaa hapo kachemka.Weka sawa taarifa yako; f.y.i, Mfuko wa KG 50 kwa SH. 47,000= hiyo ina maana KG 1 ni SH. 940= ambapo siyo kweli hata chembe.
Ndio hoja uliyobakiwa nayo!Kamuulize dada yako.
Umesema Kweli Mkuu!! Hata Mtoto Akichoma Chanjo Ya Polio Utaambiwa Hakikisha Una Panadol, Maana Joto Litapanda TuDawa ikianza kufanya kazi, basi joto la mwili huongezeka.
Mheshimiwa hajafuta utaratibu wa vibali bali kafuta wenye navyo hivi sasa ili waanze kuomba tena na wawe controlled, siyo kama zamani watu wanapiga hela tu kijanjajanja