Mshobaa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,716
- 680
Habari wakuu....hali ya sukari imekua changamoto kidogo maana hivi sasa mfuko wa kg 25 unauzwa kwa tsh 78,000 had 80,000 huku ule wa kg 50 ukifika 170,000 hadi 172,000 hii ni kwa mkoa wa Dar es salaam. Tunaomba mamlaka husika kuanzia bodi ya sukari muliangalie hili kwa mapana zaidi,maana linaadhiri moja kwa moja wananchi wa kipato cha chini sio wote watakaomudu kununua kwa kilo tsh 4000 na kuendelea
Nawasilisha
Nawasilisha