Mfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 Adi 19,000 itategemea na eneo kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu..........View attachment 847255
Hawa jamaa sielewagi siasa zao za kuwa wanajali raia .....yaan hakuna kitu muhumu kweny nchi inayo endelea tena inayotaka raia wawe na kipato angala cha kati kama raia kuwa na makazi bora....sasa saruji ghari hapa si tutajenga nyumb za Tope kwl ......haki ya nani saruji haikamatiki kabisa