Hahahaha AiseeeDah!bora aisee,maana wengine ujenzi ndo ilikuwa lazima usimame kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara Paaa inazidi kupanda DadeqKujenga sio dharura. Kama bei iko juu, pumzika, weka akiba pesa yako siku ikishuka utaendelea na ujenzi...
Tutarudi kujenga nyumba za udongo. Sio lazima tujengee cement... Unajenga ya udongo, unapiga lipu ya cement. Nani atajua?Mara Paaa inazidi kupanda Dadeq
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Watu wa dar mnalialia sanaMfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 Adi 19,000 itategemea na eneo kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu..........View attachment 847255
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Hongera sanaWatu wa dar mnalialia sana
Mikoani cement haijwahi kushuka below 17000 Tshs
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi unakua Kwa kasiMfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 Adi 19,000 itategemea na eneo kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu..........View attachment 847255
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Ni sahihi kabisa binafsi sijawahi kununu saruji chini ya elf 16/17 na sijawahi kuzid hapo.Watu wa dar mnalialia sana
Mikoani cement haijwahi kushuka below 17000 Tshs
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo kama imepanda hivyo kwa Dar mikoani lazma itakuwa inaelekea kwenye 22000Ni sahihi kabisa binafsi sijawahi kununu saruji chini ya elf 16/17 na sijawahi kuzid hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaJapo kama imepanda hivyo kwa Dar mikoani lazma itakuwa inaelekea kwenye 22000
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo toka mwaka Jana vifaa vya Ujenzi vimeshoot sana na hakuna lililofanyika kuzuia hii hali.
Ndugu yangu hata mimi nashangaa, yaani huko darisalamu wameguswa ndo serikali ikaona kuwa hali mbaya lakini ukweli ni kwamba sisi huku mikoani hali hiyo ilisha tuzoea na tukaizoeaJapo toka mwaka Jana vifaa vya Ujenzi vimeshoot sana na hakuna lililofanyika kuzuia hii hali.
Kwa sasa imewakumba watu wa Dar wanalia sana lakini mikoani toka mwaka Jana hali ilikuwa hivi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app