mimi_wewe Member Joined Jul 27, 2014 Posts 70 Reaction score 17 Sep 13, 2016 #1 Naomba kwa anaejua bei ya sasa ya pikipiki MPYA aina ya SANYA 150-9 anisaidie,kwa mazingira niliyopo nivigumu kufahamu na ndio maana nikaamua kuomba msaada kwenu wanajamii!!
Naomba kwa anaejua bei ya sasa ya pikipiki MPYA aina ya SANYA 150-9 anisaidie,kwa mazingira niliyopo nivigumu kufahamu na ndio maana nikaamua kuomba msaada kwenu wanajamii!!
mimi_wewe Member Joined Jul 27, 2014 Posts 70 Reaction score 17 Sep 15, 2016 Thread starter #2 Mbona kimya wadau!?
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,504 Sep 15, 2016 #3 1.9m