Bei ya Samsung Galaxy S ii

Bei ya Samsung Galaxy S ii

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
habari
nilikuwa nauliza Bei ya Samsung Galaxy S ii kwa maduka ya Dar es salaam in Range kati ya shilling ngapi na ngapi kwa simu mpya dukani!
Anaefahamu pleaz anijuze
 
ukitaka ambayo siyo ya magumashi 1.2m unapata mpya kabisa
 
habari
nilikuwa nauliza Bei ya Samsung Galaxy S ii kwa maduka ya Dar es salaam in Range kati ya shilling ngapi na ngapi kwa simu mpya dukani!
Anaefahamu pleaz anijuze

Laki saba na nusu
 
Mpya kwa box na kila kitu chake nauza kwa TZS. 650,000/= unapata risiti na warrant ya 12 months.
My number 0655003510
 
ipo used miezi 4 bei laki tano na nusu,550,000/= ni nzima kabisa haina mikwaruzo yoyote
 
Acha kuendekeza njaa hiyo simu umepewa na ofisi kwa shughuli za kiofisi wewe unataka kuuza!
 
Iphone 4s mpya kwa box ni TZS. 850,000/= na mpya simu pekee bila vitu vyake ni TZS. 750,000/=
Iphone 4s unayo......?...mpya.....?



Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom